Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
738
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..

kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..

kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......

Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
 
Acha utoto wewe, nenda kasome kuwa na mke karibu hakukuzuii kufanya UHUNI kama utataka.

Vijana Wenzako au waalimu wako watamtandika mimba nyingine!!! Wakati umekwenda lecture au una test/mtihani watakulia timing wampige mashine.

Je, una uhakika kiboom kitatosha kumnunulia Nguo, kumpeleka saluni na vitu vingine vitakavyomfanya afanane na wadada wa Chuo???
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
tutamchepukia ad mkeo kama huna buum
 
Kabla hujaamua tambua yafuatayo;

1) Chumba cha bei rahisi ni 40-50 elfu kwa mwezi maeneo ya makuru(unalipa kwa miezi 6)
2) UDOM hata ukikaa nje ni lazima kulipia accommodation lasivyo uwe na sababu maalumu ya kukaa nje ya chuo(ukifanikiwa kuwashawishi utapewa kibali na hautalipia hela ya accommodation.
3) Unaenda kusoma programu gani?( nauli ya kwenda chuo na kurudi
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
Mtakula Vumbi... Shubamiti
 
Back
Top Bottom