Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Inahu.......![emoji1]Umeanza familia na bado unategemea mikopo ya masomo kuishi???!!!!!!!!
Inahu.......![emoji1]Umeanza familia na bado unategemea mikopo ya masomo kuishi???!!!!!!!!
Kweli kabisa mkuuHuu ndo uwanaume .. Na mungu atakujalia maisha yataenda na utamaliza chuo na kupata kazi nzuri cha muhimu muombe mungu sana .. Wengi wanaokuponda ndo hao wanaokataa mimba kila siku na kutelekeza mabinti za watu... Na ndio maana ukapata hata kamkopo ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah we jamaaMke halindwi wewee...kulinda mke ni sawa na kulinda bahari...we unalinda koko...wenzio wanakula bagamoyo
Basi ndio atatulia hatokuwa anaruka viwanja au kwenye magrups yasiyo na maanaAnaitafuta GPA ya 1.9 kwa nguvu huyu
Asante bro hvyo ulivyovitaja ndo vimenifanya niondoke na mke wangu kabisa....coz naweza kuwa najisomea kwa room ya hostel mara mwenzangu analeta malaya wake hapohapo room inabidi tu niache mpk wamalize shughuli yao...ila kama nikiwa nimepanga room angu mtaani wala sitakuwa na taabu saa 12:30 jion nishafika zangu home....najisomea zangu mdogo mdogo bila usumbufu..Basi ndio atatulia hatokuwa anaruka viwanja au kwenye magrups yasiyo na maana
Lectures,discussion,nyumbani na mkewe ,kujisomea nk atakuwa na utulivu na no stress ya mizinga kutoka kwa michepuko
Hizo n ndoto za mchana yan [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
Lzm ujipange kwa usawa huu wa maguUmepata mkopo???
Kila la kheri mkuuMimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..
kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..
kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani