Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

K
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
kikubwa ni kujitambua na kujiamn mana failure to do so mmmmhhhh!
 
Ukimwi haupo mkuu inasemekana lkn, ilaa mngefunga ndoa kbs na ulimkatisha mkeo masomo akiwa kidato gn km cha nne anko magu anakutafuta
 
Huu ndo uwanaume .. Na mungu atakujalia maisha yataenda na utamaliza chuo na kupata kazi nzuri cha muhimu muombe mungu sana .. Wengi wanaokuponda ndo hao wanaokataa mimba kila siku na kutelekeza mabinti za watu... Na ndio maana ukapata hata kamkopo ..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
Ni sawa lakini kuikimbia anasa mbona ni fikla zako tu na kuishinda tamaa?kuna watu wana wake zao na wanaweza kutembea hata na beki tatu
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani

Mke halindwi wewee...kulinda mke ni sawa na kulinda bahari...we unalinda koko...wenzio wanakula bagamoyo
 
Ukipata bumu la awali kabisa mfungulia na kagenge ka kuongezea kipato kagunia ka mkaa kabisa. Ukweli umefanya vyema sana. Huku unamsomesha ipasavyo. Ukweli kama umedhamiria ninakuunga mkono kabisa. Go ahead.
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
Labda ukakae ng'ong'ona kwa wagogo room nafuu, afu nauli zitakutesa sana UDOM sio UDSM kwamba ukiishiwa waweza kutembea kitivo hadi kitivo.UDOM vitivo viko mbali afu mchakato wa pesa dodoma mgumu. Ukishindwa umpe nauli harud.
 
ninamashaka hata na comb uliosoma advance, yn wew umekaa umefkiria ndo conclusion uliopata?
 
Kila la kheri mkuu.
Ila angalia usijikute semister moja umemrudisha home.
Jipange
 
Back
Top Bottom