Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

Nenda Nae, Bro Kama Ndo Uamuzi Uliofikia, Unaweza Kuishi Nae Vyema Tu Bila Kikwazo Wala Nini, Sema Itakuwa Vema Zaidi, Ukienda Kusoma Mazingira Afu Ndo Akufuate Baadae.
 
Kuna mdau amekushauri vizuri...washirikishe Bodi ya Mikopo kuwa unaenda chuo na mke na mtoto huenda wakakuonea huruma, pia Ustawi wa Jamii, haha
 
Una chanzo kingine cha kukuingizia pesa?,nenda mwenyewe kasome mazingira kwanza ndipo ufanye maamuzi!..
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..

kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..

kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......

Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
Unaenda kula discontinued from the study semister ya kwanza tuu.
Acha mwanamke wako nyumbani, be matured enough to handle relationship while you studying, other wise you will face the consequences
 
Hahahaha. Hivi unajua vyuoni kuna watoto wazuri balaa nakuonea huruma utakosa mengi
 
Naona sasa ile wizara itaongeza sababu nyingine ya pili baada ya ile ya kununua TV.....
 
..angalia jomba...usije ukakaziwa mke huko huko udom unakojifanya kwenda nae...angalia jomba usiruke mkojo ukakanyaga choo....
 
Uko sahihi kabisa nenda na mkeo, mpangishe mtaani maisha yaendelee ila waweza mfungulia hata kagenge kakuuza chai na lunch maisha yatasonga, waapuze wanaokukatisha tamaa maana hawajui BARAKA UTAKAZOKUTANA NAZO UTAKAPOISHI KARIBU NA MKEO.
 
I swear u gonna leave her kwa karanga za kuonja collage
 
Yaani pale Shetani anaishi karibu na chuo,mkeo atabadilika na kugegedwa kama nini,nmeshuhudiq wake za watu wakibinulia ile mbaya.


Anyway,shetani hawajawahi kuokoka
 
Back
Top Bottom