kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,822
- 2,199
hahhahahahahahaety na boom...??? mtu wa kwanza sua anapewa 225,000 per semister kama mtakula nyas sawa
hahhahahahahahaety na boom...??? mtu wa kwanza sua anapewa 225,000 per semister kama mtakula nyas sawa
Naona hatari mbele yako ya kuingia pale kwa 1/4 yaan stress za lecture,assgnments plus tests halafu unarud room unakutana na stress mboga,mkaa,mafuta sijui sukar ya uji wa mtoto hakuna walah unakuwa kichaa. ukiwa peke yako utapata stress za masoma tu maana misosi ni simple kubebwa na washkaj ukiwa peke yako,honestly wanaokushaur uende na mke na mtoto kwa kutegemea boom wanataka uprove tafiti ya wale jamaa zetu wa TWAWEZABasi ndio atatulia hatokuwa anaruka viwanja au kwenye magrups yasiyo na maana
Lectures,discussion,nyumbani na mkewe ,kujisomea nk atakuwa na utulivu na no stress ya mizinga kutoka kwa michepuko
HongeraMimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..
kwa sasa bnti huyu anaishi hapa kwetu na mama yangu.kutokana na fununu kuwa chuo kuna anasa sana na starehe nyingi nimefikiria kwa kina nikaamua kwa dhati kabisa niende n huyu mke wangu na mwanetu chuo kikuu kisha tutapangisha chumba mtaani jirani na chuo na maisha yatasonga na boom la heslb tutakula pamoja..
kwa kifupi nimegundua kuwa na huyu mke wangu kipenzi chuoni pale kutanipunguzia gharama na kunifanya nibane matumizi zaidi pia atanisaidia sana kutokuendekezea starehe na hvyo kuniepusha na UKIMWI na magonjwa mengine vilevile ulinzi wa vitu vyangu utakuwa ni mkubwa zaidi tofauti na ningekaa gesti......
Binti huyu nilimkatisha masomo kwa hiyo akiwa karibu na mimi nitakuwa nampigishia matopic ili na yeye aweze ku reset necta mwakani
HahahaNaona hatari mbele yako ya kuingia pale kwa 1/4 yaan stress za lecture,assgnments plus tests halafu unarud room unakutana na stress mboga,mkaa,mafuta sijui sukar ya uji wa mtoto hakuna walah unakuwa kichaa. ukiwa peke yako utapata stress za masoma tu maana misosi ni simple kubebwa na washkaj ukiwa peke yako,honestly wanaokushaur uende na mke na mtoto kwa kutegemea boom wanataka uprove tafiti ya wale jamaa zetu wa TWAWEZA
DuuhNaona hatari mbele yako ya kuingia pale kwa 1/4 yaan stress za lecture,assgnments plus tests halafu unarud room unakutana na stress mboga,mkaa,mafuta sijui sukar ya uji wa mtoto hakuna walah unakuwa kichaa. ukiwa peke yako utapata stress za masoma tu maana misosi ni simple kubebwa na washkaj ukiwa peke yako,honestly wanaokushaur uende na mke na mtoto kwa kutegemea boom wanataka uprove tafiti ya wale jamaa zetu wa TWAWEZA
Well DoneMimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu..kwa bahati nzuri nimechaguliwa kuendelea na masomo ya juu ktk chuo kikuu cha dodoma UDOM..mwaka huu kwa bahati nzuti kuna classmates wangu nilimpa mimba akajifungua salama mtoto wa kiume..