Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
Baada ya kukosa kazi ya kuniingizia kipato kwa hapa Dsm
na baada ya kupewa ahadi ya kusaidiwa namna ya kujikwamua kimaisha kuwa isiyotimilika
Nimeamua kulikimbia Jiji la Dsm na kwenda Arusha.
Huko simjui mtu,sina ndugu wala mjomba. Naenda kupambana na hali yake. Labda kuishi Dar mda mrefu naona hakuna fursa kwangu tena! Lakini pia kuna labda kazi ambazo kwa hapa Dar zinaonekana siyo ila kwa Arusha na nje ya Dar zinaweza kuonekana ndiyo za maana! Vyote hivyo naviona akilini mwangu
Kama nimepotea,potelea mbali! Ila namwomba Mungu anitangulie katika hili. Maisha ni magumu saana!
Wakazi wa Arusha,na viunga vyake,tengeru,moshono,kia,na Mererani nawaomba mnipokee aisee!! Nimekuja arusha kutafuta maisha. Ni hayo tu!