Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

Arusha hakuna mzunguko wa fedha???????

Yes huo ndo ukweli...wanaoishi arusha na kufanya mambo ya maendeleo wako kwenye makundi mawili

1. wazawa wenye jinsi nyingine ndogondogo za kujipatia kipato au kurahisisha matumizi

2. waajiriwa,kama ni wenyeji..basi wawe wameajiriwa na wana mshahara standard kidogo...kama ni mgeni basi awe ameitwa kwenye ajira kabisa..au kahamishwa kikazi...

kubali kataa...Arusha sio kama Dar/Mwanza ambako mtu unaweza kwenda humjui mtu na ukatoka kiuchumi.
 
Karibu Arusha. Usichoke kupambana na usichague kazi. Ila, ukweli uko palepale. Vikikushinda Dar, kwingine ni balaa tupu. Arusha pasua kichwa arifu!
 
Safari Njema tuachie jiji letu maana tumejazana sana aisee!!
 
karibu, achana na wanaosema hamna mzunguko wa hela, maisha ni kupambana.
 
Duh...kwa Arusha sijui utaanzia wapi mkuu....ule mji sio wa kukimbilia...hakuna mzunguko wa hela kabisa... hakikisha usitumie akiba yote..bakiza nauli ya kuondoka.....ingekua mimi ningekushauri nenda mwanza,mbeya au mtwara..uta make pande zile.

Arusha Mmmmhhh.

Exactly nami namshauri aje Mwanza, kwa kawaida Mwanza huwa haimtupi mtu. Atatusua tu cha msingi ni kujituma na kutokata tamaa pia aone namna ya kujiajiri na si kutegemea kuajiriwa tu
 
Mkuu itakuwa njema zaidi kama utafunguka juu ya fursa zilizopo Mwanza hasa kwa mtaji wa chini ya milioni.
 
nenda mtwara utapata tu ikishindikana anza na kufundisha bila shaka utatoka tu.arusha ni kama dsm kuna competition kubwa sana
 
Yes huo ndo ukweli...wanaoishi arusha na kufanya mambo ya maendeleo wako kwenye makundi mawili

1. wazawa wenye jinsi nyingine ndogondogo za kujipatia kipato au kurahisisha matumizi

2. waajiriwa,kama ni wenyeji..basi wawe wameajiriwa na wana mshahara standard kidogo...kama ni mgeni basi awe ameitwa kwenye ajira kabisa..au kahamishwa kikazi...

kubali kataa...Arusha sio kama Dar/Mwanza ambako mtu unaweza kwenda humjui mtu na ukatoka kiuchumi.

Upo sawa mkuu. Huku Arusha ni shehemu nzuri sana ya kuishi kuliko Dar na gharama za maisha sio kubwa kama Dar ila inabidi uwe na shughuli ya uhakika inayokupa kipato. Kwa mtoa mada Dar panamfaa coz ndo kuna organisation nyingi ambapo anaweza kupata kazi za kusukuma maisha. Huku Arusha mashirika sio mengi kama Dar. Ila huku pazuri sana kuanzia hali ya hewa, usafi, huduma za jamii e.g maji, n.k. Na pia kuhusu mzunguko wa hela upo vizuri tu ukifanya biashara utafanikiwa tu.
 
Njoo Mwanza nduhu tabu,fursa shazi,vibarua kibao,kwenye viwanda vya samaki ndiyo usiseme kutwa buku 4,musosi pale Mabatini jero tu,wali nyama loh!Mwanza mwanza mwanza
 
Duh...kwa Arusha sijui utaanzia wapi mkuu....ule mji sio wa kukimbilia...hakuna mzunguko wa hela kabisa... hakikisha usitumie akiba yote..bakiza nauli ya kuondoka.....ingekua mimi ningekushauri nenda mwanza,mbeya au mtwara..uta make pande zile.

Arusha Mmmmhhh.

Arusha hakuna mzunguko wa pesa?!! You must be a big joker
 
Baada ya kukosa kazi ya kuniingizia kipato kwa hapa Dsm… na baada ya kupewa ahadi ya kusaidiwa namna ya kujikwamua kimaisha kuwa isiyotimilika…
Nimeamua kulikimbia Jiji la Dsm na kwenda Arusha.
Huko simjui mtu,sina ndugu wala mjomba. Naenda kupambana na hali yake. Labda kuishi Dar mda mrefu naona hakuna fursa kwangu tena! Lakini pia kuna labda kazi ambazo kwa hapa Dar zinaonekana siyo ila kwa Arusha na nje ya Dar zinaweza kuonekana ndiyo za maana! Vyote hivyo naviona akilini mwangu…
Kama nimepotea,potelea mbali! Ila namwomba Mungu anitangulie katika hili. Maisha ni magumu saana!
Wakazi wa Arusha,na viunga vyake,tengeru,moshono,kia,na Mererani nawaomba mnipokee aisee!! Nimekuja arusha kutafuta maisha. Ni hayo tu!
nipe namba yako mkuu labda tuko in the same boot.
 
Nitumie namba yako angalau chakula hutokosa wakati unaangalia fursa zingine.
 
Mjerumani ukionyesha ushilikiano kwahuyo mwanaharakati zamaisha nitakufananisha na askari aliye kwiva kijesh anayejua wajibu wake wkusaidiana vitani Nakurispect kwa hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom