Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,241
- 2,297
Baada ya kuwa katika mahusiano na wanawake mbalimbali na kukutana na changamoto mbalimbali, ililazimu kukaa chini na kutafakari ni mtindo upi wa maisha niishi ili niweze kuepukana na matatizo na changamoto katika suala zima la mahusiano na ndoa kwa ujumla.
Ilinichukuwa muda mrefu sana kupata jibu, lakini jibu limepatikana na mpaka sasa hivi nimeshaanza kufuata mtindo wa maisha au life style ya kaka mkubwa Michael Jackson au Wacko Jacko, the King of Pop.
Katika ujana wake kaka mkubwa MJ alishurutishwa sana na kitu kinachoitwa mapenzi lakini baadaye alikuja kuibuka na legendary life style ya kuzaa na wanawake na kuchukua watoto wake pasipo kuendeleza mahusiano yoyote na wazazi wenzake.
Hii ilimsaidia sana jamaa, maana nguvu na akili zote aliwekeza kwa watoto wake na yeye mwenyewe.
Hivyo basi, na mimi nimeamua kuishi katika mtindo huu ambao nimeupa jina la legendary life style of MJ.
Hivyo basi, wakuu hamutokuja kusikia mtu mzima Worldboss anakuja kuoa wala kulialia hapa jamvini. Mimi na mechi za mchangani, mechi za mchangani na mimi.
FAIDA YA LIFESTYLE HII:-
1. Hakuna muda wa kupoteza kuhangaika kumridhisha mtu ambaye hana umuhimu wowote kwako wala guarantee yoyote.
2. Unapata muda wa kuenjoy maisha utakavyo (full of fantasy)
3. Utaepuka dharau za kijinga jinga kama kuitwa mwanaume suruali au kibamia.
4. Utaishi bila ya presha ya kugongewa iwe demu au mke.
5. Utapata muda mwingi wa kufocus kwenye issue za maana na za kimaendeleo.