Nimeamua kuwa Michael Jackson wa pili katika suala zima la mahusiano

Umefanya maamuzi mazuri sana, kuliko kuoa halafu ukaja kupata kesi ya kuua baada ya kufumania
 
Umefanya maamuzi mazuri sana, kuliko kuoa halafu ukaja kupata kesi ya kuua baada ya kufumania
haikuwa rahisi mkuu nilitafakari kwa muda mrefu sana nikaona nisijekuishia pabaya nimetumia muda mwingi na nguvu nyingi kujijenga mpaka kufika hapa.
 
hapana mkuu ... hiyo labda kwako mimi niko njema tu na mawazo yangu ndiyo hayo.

Sema nimefikilia mbali sana mimi ni mtu egoistic alafu short tempered na kwa tabia za wanawake naweza ishia pabaya zaidi kuliko huo upweke mnaouzungumzia.

Una umri gani?

Umewahi kuwa kwenye mahusiano na watu wangapi?
 
worldboss 30 vs 5 ni ratio ndogo sana. You are yet to see the goodies of women.

Anyway, endeleeni kupungua, tukibaki wachache hata competition itapungua.
mkuu hii decision ni ya kibinafsi sana imeangalia zaidi mimi ni mtu wa aina gani so hata wanawake wawe na mazuri gani bado nasita kujiingiza huko.
 
Jipe miaka mitano mitano kufanya assessment.

You will tell
mkuu maamuzi yangu yametokana baada ya kubaini kuwa:-
1. Mimi ni egoistic
2.short tempered (nishapata kesi nyingi sana kwa suala dogo la kushindwa kucontrol hasira hata wakati haki ni yangu)
3.nikiwa katika mapenzi napunguza efficiency ya kazi yoyote
4.nikiwa na mpenzi namuamini sana na hii ni vulnerability ilitokea akaniumiza naumia sana.
5. Alafu kabisa mimi sio muhuni.
 
mkuu mj alikuwa mpweke ni kwa sababu ya ustaa ulimnyima uhuru wa kuishi atakavyo na pia media zilimuandama sana na wala si mapenzi fuatilia vizuri mkuu.

mkuu , hiyo hoja yako ni kweli , lakini pia mapenzi yalimkosesha amani akapata upweke toka utotoni, aliwaelewa child stars wengi wa wakati ule ila nimewasahau majina waliishia kumuacha, hata lisa marie pia alimuacha
mj anasema lisa alikataa hata kumzalia watoto, pia lisa anasema mj alikua wakiamka asubuh anakimbilia bafuni kupaka make up anaficha sura yake mkewe asione jinsi gani anakua bila make up , nitaweka links uone jinsi alivosumbuliwa na mapenzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hapana bwana sio kweli .... Kuna watu wengi wana hela na wanaishi maisha ambayo Jamaa ana yaongelea kwa sababu hawataki kero zinazo sababishwa na mahusiano '' Wajua ukiwa na hela ni rahisi kumiliki silaha ya moto ''

So umeshawahi kujiuliza kuna watu wangapi ambao wana kesi za kuua wenza wao baada ya kumiliki hizo silaha '' Yote ni baada ya kushindwa kuvumulia mapicha picha ya mahusiano ''... So kuna baadhi ya watu hawataki kupita katika hayo matatizo

Pia kuna watu wengi tu ambao wameoa lakini wanaishi maisha ya upweke ' Kuliko hata wale ambao hawajaoa ...Au haujawahi kuona/kusikia mkuu ......Mimi niliwahi kuwa na rafiki yangu ana nyimwa unyumba na mkewe kwa muda hata wa miezi 6
Upweke unakuja siku ukiwa fresh mfukoni, ila ukiwa kavu ndo unakuwa na mawazo kama ya jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you boss.

But, do you think at 30 years of age ni sahihi kuwaza kwamba huu uamuzi utakuwepo muda wote?
Naweza kusema ni sahihi au la ' inategemea na knowledge ya victims ... Kuna ambao katika umri wa miaka 30 tu wana ukomavu mkubwa sana wa kufikiri (but hawa wapo wachache) na kuna ambao wana miaka 30 lakini bado wana upeo mdogo wa kufikiri ( wapo wengi katika Jamii zetu ) so hawa hatupaswi kuamini wanacho kisema (as maamuzi) mpaka pale tutakapo weza kuhakikisha kuwa wako Matured enough

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu maamuzi yangu yametokana baada ya kubaini kuwa:-
1. Mimi ni egoistic
2.short tempered (nishapata kesi nyingi sana kwa suala dogo la kushindwa kucontrol hasira hata wakati haki ni yangu)
3.nikiwa katika mapenzi napunguza efficiency ya kazi yoyote
4.nikiwa na mpenzi namuamini sana na hii ni vulnerability ilitokea akaniumiza naumia sana.
5. Alafu kabisa mimi sio muhuni.
Just Go for it brother,
Life is how you make it, naungana na wewe kwenye suala la unafiki katika mahusiano, ukirudi ana wewe, ukiondoka anaye yule anaye mpenda yeye, wewe kakuweka kama kichaka cha kujifichia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom