Nimeamua kuvunja haya mahusiano

Nimeamua kuvunja haya mahusiano

Platinum member bado una hoja za kitoto,uko humu zaidi ya 20 years bado unashindwa kuutendea haki uplatnum member wako.

Platinum member alijejiunga na Jf 2012,
bado anaishi getto, itoshe kusema wewe ni mtu wa hovyo kabisa.

Nilitegemea uwe na familia na uwe baba wa kuwalekeza Genz,you behave like under 18 boys

You are a good for nothing Man
Umeniwahi, nilitaka nimwambie classmate kuwa hafanani na nyuzi za namna hii.
 
Umeniwahi, nilitaka nimwambie classmate kuwa hafanani na nyuzi za namna hii.
Watu wengi wanao tazama maisha in a serious way, maranyingi wanakwama sana...🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom