💐💐💐💐💐🌺🌹🌹🌹Haka sindio kale kalinza kumsifia na kumpa maujiko mkata nyama buchani, alafu mtoa hela mimi sipewi maua yangu....😮💨
Hivi mkuu unatoka sehemu inaitwa Ushirombo? Mkuu wewe ni mkorofi sana🤣🤣🤣Wanachagua wajenzi...😂View attachment 3699609
Najua pakukupata jinga wewe😂Wanachagua wajenzi...😂View attachment 3699609
Hakuna haja ya kuwa na familia mkuu....
Nimemkomesha....
Huyu akakomae na kutafuta hela, sie atuachie tupambane na chundai....
Niliwahi kuishi kule mkuu....Hivi mkuu unatoka sehemu inaitwa Ushirombo? Mkuu wewe ni mkorofi sana🤣🤣🤣
Haijafika kaka. Nadhani imekwama kwa malaya ya pale Mwanamboka Kinondoni kama sio Kimboka BuguyonsaNimesha kutumia namba yake pm
Mpuuzi wewe 😂Nimeipokea tayari PM, nitakujibu badae...🤣
Wanachagua wajenzi...
anasubiri huduma kwa wateja
Kumwagika damu? Ni mauaji? Nani alisema bikra zote zinamwaga damu?