"nimeamua kutoroka" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"nimeamua kutoroka"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Jun 12, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  BINTI:"Hi Baba"

  BABA:"Sema binti yangu?"

  BINTI:"Nimempenda huyu watchmen wa hapa nyumbani na nimeamua kutoroka nikaolewe nae"

  BABA:"Pumbavu kweli wewe unadhani nitashtuka? Safari njema na nisione sura yako tena hapa!"

  BINTI:"Samahani baba.....Nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama"

  BABA:"Umesema..!!"
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  binti atakuwa amepata ujumbe kwamba baba hamjali hata kidogo lol!!
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  dah mzee imekula kwake
   
Loading...