Im ready to be responsible for any outcomes< I swear I wont regret
i really respect your wisdom....
Atajijua mwenyewe I hate men, I have nothing to loose ajue asijue yote sawa tu.
Sasa akiwa single parent atakwepa hizo ada za wanae? Manake mwanaume akiachwa mostly anakuwa hopeless jumla! Na uchumu mdororo haukawii kumkumba! Utaacha kulipia ada wanao bidada,mwisho wakaishie kutanga na dunia?
For your information nimekuwa nalipa hizo ada mwenyewe, matumizi mwenyewe plus kumlisha huyo bwana mwenyewe so imagine nikiwa nyumba ndogo, napewa vyote hivyo na watoto sio wake tena ni 1 call tu hakuna kusumbuana ada matumizi yanaletwa fastaaa, maana anajua akiharibu zitafika
kama unawachukia hivyo
si uwe tu single parent.. usihangaike na nyumba ndogo..
maana hapo kuna wewe na wana .. watoto nao wanatakiwa
wa adopt maisha mapya na huyo nyumba ndogo.. au hujali
kuhusu wao pia..?
Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.
Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.
Hivi kwanza huyu anataka ushauri au alikua anatoa taarifa?
masahihisho kidogo;Nyumba kubwa sirudi kamwe I swear jinsi nilivyoumia ni mpaka niwe nyumba ndogo kwanza kwa muda then ndio niwe single parent, hapo ndio nitaweza kujisamehe kwa kosa la kupenda nililowahi kufanya
masahihisho kidogo;
maana ya nyumba ndogo ni kwamba unakuwa upo ndani ya uhusiano/ndoa na unaamua kuwa na kidumu pembeni(whether formal or informal).
sasa kwakuwa wewe umeachana na ndoa/uhusiano wa kwanza na umetafuta mwingine(kwa ajili ya mahaba tu) basi huwezi sema ni nyumba ndogo.
the topic should have read; NIMEACHANA NA NDOA YA KWANZA NA SASA NIMEPATA MAMSAPU MWINGINE
i stand to be corrected.
ni hayo tu