Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,771
- Thread starter
-
- #61
Ishu kubwa kulikuwa na makosa ya maridhiano ya kimahesabu, na ndio lilikiwa jibu la PAC. Hakuna upigaji au risk ya pesa kuibiwa.Mkuu ufisadi ni mchakato sio tukio, yaani ukiona pesa haionekani kwa mfuko mkuu ujue kuna dili la kuiba.
Kwahiyo kisheria ni lazima mapato yote yapite mfuko mkuu ili serikali ijue ina shingapi. Sasa ukifanya miamala nje ya mfumo huoni unaiweka kwa risk ya pesa kuibiwa? Huoni kuna sheria zimekiukwa maksudi kabisa ili pesa iibwe?
Mkuu inaonekana hufahamu masuala ya auditing na control. Mfano pesa za kampuni yako zinatakiwa zikae benki ili ziwe monitored sasa iwaje mhasibu wako akaweke kwenye kabati la ofisini?Ishu kubwa kulikuwa na makosa ya maridhiano ya kimahesabu, na ndio lilikiwa jibu la PAC. Hakuna upigaji au risk ya pesa kuibiwa.
Nimerudi Ccm boss.
Unao uhakika na unachokisema?Naona viazi mmekutana mnaanika unafiki wenu kisha mnashangaana. Mko matawi tofauti nini? Mwambie tu kuwa hujawahi kuhama ccm, ila propaganda yenu kuwa NCCR kikatakuwa chama kikuu cha upinzani imebuma.
Nilibugi,nimerudi Chama kinachowajali wanyonge.
Nenda salama njaa inakusumbuaFuatilia mambo mkuu,hakuna ufisadi wa tril 1.5 wala ubadhirifu wa ununuzi wa ndege.
Unao uhakika na unachokisema?
Mkuu inaonekana hufahamu masuala ya auditing na control. Mfano pesa za kampuni yako zinatakiwa zikae benki ili ziwe monitored sasa iwaje mhasibu wako akaweke kwenye kabati la ofisini?
Unadhani akija mkaguzi akaona mapato yote yaliyopo kwenye vitabu ni tofauti na pesa iliyopo benki. Huoni ni mwanya wa wizi?
Embu naomba ujibu kwa perspective ya internal control mechanisms na auditing.
Utawala huu wa uonevu unyanyasaji udikiteta kuna ufisadi mkubwa kuliko Tawala zote tokea Nchi ipate uhuruHata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.
View attachment 1608641
Rudi tu, huna madhara!we ni sawa na nyuki wa mashineni!!Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kuraWahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Mkuu unapoteza muda wako bure kumjibu huyoHizo hela zilizokuwa zinapigwa kifisadi na hao Agreco na Richmond zilikua zikipigwa na Serikali ya NCCR Mageuzi au ni ya CCM hiyo hiyo?
Unafiki siyo kitu kizuri. Hakuna mtu wa kukupangia kujiunga au kuwa mfuasi wa chama chochote kile. Ika siyo haki kukihusisha chama kingine na makosa ya chama kingine, ili tu kufanikisha matakwa yako.
Wameokoa takwimu feki? Hizo pesa uliziona wapi? Takwimu za kutengeneza na hata wakipata pesa zote zinaenda kupelekwa chato kusiko na manufaa ya Taifa na pesa zingine wanakula akina cyprian Musiba polepole kwa kisingizio cha kuihujumu kuidhoofisha chadema, kwa kifupi utawala huu wenu unatumia pesa za walipa kodi kudidimiza demokrasiaNimekuambia CCM huwa inajitathimini ikifanya makosa. Na hilo ndio jibu sahihi kwako. Ndio maana wanaokoa Bil 719 hii leo.
Watanzania waliopo nje kuanzia Afrika Asia America ulaya sasa hawatumi pesa zao Tanzania kutokana na BOT kutaifisha pesa nyingi za watu kwa visingizio vya utakatishaji fedha, pesa nyingi inatumwa kenya Uganda Zambia ambapo hawana ujinga wa kuwapora watu pesa zao na ndipo watanzania wengi huenda kuchukua pesa na kurejea Tanzania kwa njia za barabara, Nchi jirani wanatengeneza faida kubwa kwa pesa kupitia kwao wakati BOT wanafanya uonevu wenzao wanatengeneza faidaMkuu ufisadi ni mchakato sio tukio, yaani ukiona pesa haionekani kwa mfuko mkuu ujue kuna dili la kuiba.
Kwahiyo kisheria ni lazima mapato yote yapite mfuko mkuu ili serikali ijue ina shingapi. Sasa ukifanya miamala nje ya mfumo huoni unaiweka kwa risk ya pesa kuibiwa? Huoni kuna sheria zimekiukwa maksudi kabisa ili pesa iibwe?
Utawala wenu wa kidikteta wewe ukiwa ni mnufaika wa udikiteta umeifedhehesha Tanzania kwa kiwango cha kutisha sanaVisingizio vya wakosaji.
Wewe mwenyewe huwa huna uhakika bali hukariri vyote tokea kwa cyprian Musiba mbwekaji wa CCMUnao uhakika na unachokisema?
dah 1.5 trilion ..Hata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.
View attachment 1608641
ni bia umeahidiwa au elfu saba na kofia na tishetiWahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola.
Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na ufisadi,kisha pesa zilizokuwa zinaporwa na mafisadi kutumika kuwaletea maendeleo watanzania. Maana sekta ya afya,elimu,miundo mbinu na kila sekta imeimarishwa.
Ila jambo moja muhimu ni kuokoa zaidi ya bil 719 ambazo Iptl na Agreco walikuwa wanalipwa kila mwaka bila sababu ya msingi. Maaana sasa hakuna kampuni kama Iptl au Agreco ambayo inalipwa hizi fedha kifisadi na hakuna mgao wa umeme wala hakuna deal za kupiga pesa kama Richmond n.k.
Kwa ufupi zimebaki siku tano na kwenye karatasi ya kupigia kura Ccm ni namba moja,kwa hiyo naweka tick kwa Ccm na huku chini sipotezi muda kuangalia tena.
Chadema haipoke mtu kuwania ubunge kutoka ccm...waache wabaki huko hukoWahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.