Nimeamua kurudi CCM

CAG amekagua mchakato wa manunuzi? Kwanini bunge walipoomba forensic auditing mligoma? Mnaficha nni?
Ripoti ya CAG inasemaje juu ya governement flight agency? Kuna ufisadi juu ya pesa za manunuzi ya ndege? Au mnataka kupakazia tu?
 
Njoo ActWazalendoChadema ushuhudi nderemo vifijo na hoihoi

Yaani ni sawa na kutuambia umeacha kuangalia TBCCM halafu chanzo chako cha habari kiwe Tanzanite na Fahari yetu
 
Changu wa mawingu umeamua kutudanganya kuwa umefanikiwa kujidanganya na kuwa hatimaye umehamia rasmi sasa mboga mboga? Hadithi za sungura na Fisi hizi tegemea uungwaji mkono wa kina bia yetu.

Si unajua kuwa uko palepale au hii ni jitihada tu ya kujaribu kutega kunguru kwa maharage makavu?

Changu wa mawingu wengi tunaompango wa kuhamia CCM ikiwa tu uchaguzi utakuwa "free, fair and credible " itakuwa ina maana sahihi kwenu.

Kibongo bongo tunasema "haki."

Uchaguzi ukiwa "huru na wa haki" mbona msishangae hata Lissu na kina Mbowe kuunga juhudi?
 
Acha kashfa za kilevi.
 
Niwakere kidogo
Your browser is not able to display this video.
 
Umeamua kurudi kwenye magwiji wa ufisadi. Hivi zile 1.5 trilioni mmezipeleka wapi wakati zilitakiwa ziwasaidie wahanga wa tetemeko? Mayanga Consruction kwanini inapewa tenda zote wakati makampuni mengine yenye uwezo pia yapo?
 
Nonsense.
 
Si
Hata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.

View attachment 1608641
Uliwai kuondoka Ccm lini we mwana lumumba maarufu humu jamvini???
 
Ripoti ya CAG inasemaje juu ya governement flight agency? Kuna ufisadi juu ya pesa za manunuzi ya ndege? Au mnataka kupakazia tu?
Unajua maana ya Forensic auditing? Unajua CAG anaweza fanya uchunguzi maalum hta nje ya schedule za kawaida?

Hata issue ya 1.5 T ilikua ni special audit baada ya request ya bunge. Kwanini kwa issue ya ndege waligoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…