Kwa hiyo aliyomangwa ni nani ?
aliyejiandaa kunoa panga...
Mapanga teena! Kuna nin tena? Napita tu ntarudi badae
Ina maana nanilii ndo anamnanihino nanilii !
Hawa watu mi mbona nawaheshimu sana.
Ngoja nifunge bakuli .
Mapanga teena! Kuna nin tena? Napita tu ntarudi badae
Napita huku mlango mkubwa...sitaki hata kuonaUsirudi shemeji , hapa kuna watu tunaoga uwani !
Ahahahaaaa...balaaItakuwa TMK Wanaume wanafanya show...
ingawa pressure ina shuka, hakika huwezi kujifunikia hilo shuka.