Kiukwel kama mwanamke moyo wake haujakurizie usimlazimishe uyo n kumuacha aende tuuh maan unawez potez mda mrefu kutafuta mizozo, migogoro isiyoisha ndani ya nyumbKuna mmojq nataka kumuoa ila kama haeleweki kabisa ...Ni mtihani sana nilitaka mwezi wa saba nimuoe ndoa fasta ila ana mambo mengi sana .
Ni mpole kupitiliza nikiongea naye hawezi kunitazama usoni ,kashika dini sanq ..Ninachompenda haombi pesa maana ana kazi yake .
Alikubali ombi na kuridhia kabisa
Na unaposonga mbele, tafadhali usiangalie viporo ulivyacha nyuma ili ukapashe gentleman, lahasha,Habari za majukumu ndugu zangu hapa JF,
Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang
NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua hatua ya kumwambia asifikilie Tena swala la mim kutakata kumuoa yeye ingawa mama mzazi ananipenda
Vijana wenzangu tuwe zaidi ya umakinI tunapotaka kuoa tusikurupuke tutajikuta kweny msongo na shinikizo la mawazo
Tusikatae ndoa Bali tuwe makini kweny kutafuta ndoa
Watu wa JF wamenipa ushaur na nimeona n kheri nusu shali kuliko shali kamili
*Achana na mwanamke asiyekuwa na msimamo juu Yako.
*Achana na mwanamke asiyekuwa na roho ya kulizka na kidogo kwan hakuna kikubwa kweny Dunia Kila siku watu wanaotafuta
*Mwanamke mwenye historia ya kuwa na mpenzi aliyempenda sana achana naye kwani upendo wa huyo jamaa bado ataishinao siku zote
##wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo ni vyema tutulie katka kuchagua mke
Yye mwenyewe ananiambia ameniridhia na ananipenda ...Nilitaka kuanza kujuana na ndugu zake kama anakwepa hivi so nikipata binti naona fasta ..Siwezi kuishi kwenye nyumba peke yangu na uzinzi siwezi kabisa kwa imani yangu .Kiukwel kama mwanamke moyo wake haujakurizie usimlazimishe uyo n kumuacha aende tuuh maan unawez potez mda mrefu kutafuta mizozo, migogoro isiyoisha ndani ya nyumb
Ni rahisi sana. Sikuzote kwenye mahusiano angalia afya ya akili yako usilazimishe mahusiano na;Ulikuwa haujampenda huyo, vinginevyo ujue kuacha si rahisi hivyo
Hakika upo sahihi mkuuNi rahisi sana. Sikuzote kwenye mahusiano angalia afya ya akili yako usilazimishe mahusiano na;
Nyingine endelea kuongezea
- Mwanamke mzinifu
- Mwanamke mwenye mashosti
- Mwanamke anayetongoza wanaume ikiwemo mtandaoni
- Mwanamke anayebadilisha picha yake na kuweka mapozi kwenye mitandao ikiwemo status za Whatsup
- Mwanamke mwenye laini nyingi za simu
- Mwanamke anayekuomba hela mara kwa mara
- Mwanamke asiyekushauri mipango ya maendeleo yenu ya baadae
- Mwanamke mwenye matatizo ya kiafya ikiwemo majini
- Mwanamke mvivu
- Mwanamke anayependa starehe
- Mwanamke mchoyo hasa chakula kwako
- Mwanamke mbishi na anayependa malumbano
- Mwanamke ambaye ameshawahi kuliwa ule mtandao uliobadili jina