Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

The key to prosper in business will entirely remain on control and supervision of the whole processes carried out--according to me! endelea na mapambano kaka, the golden rule is to monitor, monitor, monitor with the birds eye!!!
 
The key to prosper in business will entirely remain on control and supervision of the whole processes carried out--according to me! endelea na mapambano kaka, the golden rule is to monitor, monitor, monitor with the birds eye!!!
umesema kweli tupu
 
Hivi mva isiponyesha au wahuni wakilichoma itakuaje?
Natania tu mkuu.U R THINKING BIG.songa mbele.
 
Mkuu Kilimo kingekua kinalipa that way wakulima wote wangeshatajirika hata mimi na wewe na yule tungelima, nimewahi kupigiwa the same hesabu. Ukweli ni kuwa kilimo hakilipi hivyo.

Usishangae ukiambulia gunia 3 au 1 kwa hecta. kwani kilimo chetu ni cha kutazama juu. Mvua zisiponyesha walahi umekwisha. Kama unaweza pata sehemu ya kulima kwa umwagiliaji, an kuencourage, otherwise ndoto za mchana.
 
Hongera kwa kuwa mkulima maana wanahitajika watu kama nyie wengi ili nchi yetu tusife ne njaa. Big up




jf
hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions tshs.
Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.

Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.

Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.

Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni tshs 60,000. Kwa hiyo nitapata average tshs 90m by july this year.

Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by july 2010.

Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh

by next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka sa au zimbabwe. By 2015 wakati dr slaa anakuwa rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.

This is a challenge to you jf- hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.

Kumbuka shairi la darasa la nne - kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
 
Elnino mbona umepotea kwenye THREAD uliyoanzisha.. ulifanikiwa au hukufanikiwa, kumbuka kuwa sasa umepita mwaka tangu uanzishe thread hiii. na watu wapo interested kupata matokeo,, mimi nililima ekari 20 za alizeti kiteto nikatoka kapa nasema tena Kapa maana sikupata hata Tsh moja.

Nilikuwa nimewekeza kama 1m. ila sijakata tamaa, nimeamua kuwekeza katika kununua mazao badala ya kupanda ili kupunguza risks. aidha nimeamua nilime mazao ya muda wa kati e.g. Maembe ya 3 yrs na nanasi ya miezi 18 maana naona mazao ya muda mfupi yanayohitaji close supervsion yatanishinda.

Aidha naandaa business plan ili nianze ufugaji wa kuku wa mayai, nilitaka kuku wa kienyeji ila it seems it takes long time before getting returns.
 
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group.
 
Elnino mbona umepotea kwenye THREAD uliyoanzisha.. ulifanikiwa au hukufanikiwa, kumbuka kuwa sasa umepita mwaka tangu uanzishe thread hiii. na watu wapo interested kupata matokeo,, mimi nililima ekari 20 za alizeti kiteto nikatoka kapa nasema tena Kapa maana sikupata hata Tsh moja. nilikuwa nimewekeza kama 1m. ila sijakata tamaa, nimeamua kuwekeza katika kununua mazao badala ya kupanda ili kupunguza risks. aidha nimeamua nilime mazao ya muda wa kati e.g. Maembe ya 3 yrs na nanasi ya miezi 18 maana naona mazao ya muda mfupi yanayohitaji close supervsion yatanishinda. aidha naandaa business plan ili nianze ufugaji wa kuku wa mayai. nilitaka kuku wa kienyeji ila it seems it takes long time before getting returns.
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group
 
Sawa kuna miscellaneous lakini kupita 5m target is vigumu - kwa mafano sasa hivi mpaka upandaji nitakuwa nimetumia 2m tu - palizi nitaweza kutumia 1m nyingine - uvunaji na kuhifadhi ni 3m approx
hata ukisema nipate magunia 20 kwa heka still jumla itakuwa tatal gunia 1000 times 60,000 = 60m ( Kadirio la chini kabisa)

HONGERA SANA - UKIPATA "MAHELA" USIWASAHAU YATIMA.:dance:
 
Angalizo tu,bei ya mahindi wakati wa kuvuna huwa inategemea soko,mwaka jana serikali ilinunua kilo kwa sh 330, kwa kilo mia ni sh 33000, wamenunua hivyo mpaka mwezi wa tatu.sasa basi weka gharama za kuhifadhi pia mpaka bei itapopanda.

Na pia ujue kwenye masoko wanauza madalali ivyo hiyo ni bei wanayouzia wao sio kununua kwako, pia nina shaka na avarage bags per acre ipo juu.

Faida ipo ila kwa hesabu zako utakufa kwa presha.
 
Umepata michango ya kukupa moyo mkuu lakini mi nakukumbusha kuwa l hekta =l00m by l00m na sio 70m by 70m. Pili umelenga umwagiliaji au rehema za Mungu kama ni umwagiliji nakupa hongera na kama ni mvua za Mungu basi usijipe matumaini kupitiliza usijeukasema pekee yako barabarani. Kumbuka nguvu ya soko inategemea mahitaji hilo nalo jiandae nalo. Kuna wadudu wanyama na ndege waharibifu nalo pia jiandae.yapo na mengine wanzangu watanisaidia kujazia vinginevyo nakupa HONGERA SANA wasomi wanatakiwa sasa mashambani kuibadili TIIZEEDII YETU

ANAMAANISHA ACRE AMBAYO NI APPRX. 70m X 70m NA SIO HECTARE YA 100m X 100m UNAYOZUNGUMZIA WEWE
 
Sawa kuna miscellaneous lakini kupita 5m target is vigumu - kwa mafano sasa hivi mpaka upandaji nitakuwa nimetumia 2m tu - palizi nitaweza kutumia 1m nyingine - uvunaji na kuhifadhi ni 3m approx
hata ukisema nipate magunia 20 kwa heka still jumla itakuwa tatal gunia 1000 times 60,000 = 60m ( Kadirio la chini kabisa)

Ila bei ya kuuzia gunia mbona iko juu sana au una ghala la kuhifadhia kwani sijaona kama umepiga bei ya kununulia viroba na storage costs including dawa ya kuzuia wadudu.

All in all hili ni wazo zuri sana mimi nina eka 5 na zote huwa nalima mahindi na maharage na natafuta shamba kubwa zaidi. Wewe mwenzangu una bahati ya kukaa sehemu yenye mashamba makubwa huku kwetu Ar. kila mtu anataka shamba na ni ngumu kupata kubwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom