Nimeamua kujiunga na NCCR Mageuzi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.

Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.

Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.

Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.

Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.
 
Ukiona mpinzani wako anakusifu "Kaa chini tafakari, Kuna kosa kubwa umelifanya mahali fulani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.

Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.

Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.

Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.

Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.
Kwa hiyo unaondoka fisiem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom