Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,728
- 99,586
Ni jambo safi sana.Unaweka na "misimbazi" pembeni ili na bahati ya mapesa ikukute.Mbaazi chakula gani kumkirimu mgeni?Ni kheri kumpatia kahawa kwa mishikaki au chai kwa matembele inakubalika.Tuko busy na tunafukiza m
ipapai, hebu atulie kwanza!