Nimeamua kujiunga na NCCR Mageuzi

Nimeamua kujiunga na NCCR Mageuzi

Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.

Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.

Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.

Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.

Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.

Mkuu kwani ulikuwa unatakiwa na chama gani useme hicho chama kimepoteza mtu wa maana?
 
Chadema atabaki chairman mcharaza santuri

Ahaaaa ahaaaa, leo Magufuli kamsifu Mbatia, kwa bahati mbaya wote wasiomkubali Magufuli au ccm automatically hawatamkubali Mbatia, hivyo itabidi baadhi ya wanaccm waende wakamjazie Mbatia watu. Ni kama Magufuli kamtia Mbatia gundu. Sana sana Magufuli itabidi atumie madaraka yake kumpa Mbatia viti maalum, ila kwa kura halambi kitu. Watanzania wengi walishaachana na siasa za kikomunisti, ambazo Magufuli leo ndio analazimisha kuziridisha kupitia mamlaka yake. Kwa taarifa yake ataaishia kutumia nguvu lakini hana uwezo wa kushinda kwa kura za ushawishi.
 
Hata sikuelewi labda umeuliza vibaya.

Umesema unajiunga na NCCR, kwani kuna chama chochote kilikuwa kinakuhitaji useme kimekukosa? Hiyo cdm iko kabla ya 2015 ambayo ww ndio ulianza kujua siasa, hivyo kama uliondoka wala hawakuwa wanakuhitaji kwa hivyo.
 
Hoja yangu ni kuwa 2015 ndio mlifanya fyongo kwa kumfanyia fitina Dk Slaa ambae alikuwa amekijengea imani kubwa chama chenu.
 
Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.

Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.

Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.

Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.

Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.

NCCR- Chama Cha Magufuli .......wanachat hadi usiku wa manane sio mchezo ......
 
Ulitakaje kwa mfano? Hicho chama ulimfuata Dr. Slaa?
Hapana sikumfuata Dk ila nilipata kuwa na imani na chama kupitia yeye kwa uadilifu wake na uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja.
 
Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.

Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.

Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.

Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.

Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.
Subiri uone NCCR itakavyokufa kama TLP.
 
😂😂😂😂😂 vijana wa CCM bana wanafurahisha kabisa
 
Back
Top Bottom