NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,064
mbatia yuleee namuona kwa mbaali kama anaviti takriban 10 na ushehe vya ubunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wambeya kama weye huwa tunajua kwa kuwatekenya.Umeonesha rangi yako tayari.Ni chawa wa kwenye upindo wa gagulo la kichaa.Rais anajulikana nani alishashinda maana amefanya makubwa kwa muda mfupi. Hili lipo wazi.
Umeanza mada yako vizuri kwa kutekeleza haki yako ya msingi kwa mujibu wa katiba. Lakini mwisho umeharibu kwa kuwenga kisingizio kwamba wabunge na madiwani wa CDM 96% hawatapata viti vyao. Sasa hapa msimamo wako ni upi? Je nitakosea nikiamini kwamba kinachokupeleka NCCR ni kutafuta nafasi ambayo hutaipata ukibaki CDM?Nimekaa muda mrefu bila ya kuwa na mwanachama wa chama chochote. Hii ni tokea mwaka 2015 baada ya CHADEMA kufanya mambo ya fitina za kisiasa kwa manufaa ya matumbo yao.
Ni kwa sababu nilikuwa mfuasi na mpenzi mkubwa kwa chama hiki hii ni kwa sababu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtanzania aliamini kuwa hiki ndio chama pekee amabacho kitatupa ukombozi toka kwa CCM iliyokuwa imechafuka.
Lakini sababu ya uzalendo ambao umeonyeshwa na chama cha NCCR mageuzi sasa naamua kwenda kujiunga nacho sababu kina nia ya kuwaunganisha watanzania wawe wamoja.
Hiki chama huwezi kukilinganisha na Act wazalendo ambayo ni kama islamic brotherhood of Tanzania maana kimejengwa kwa misingi ya udini na maslahi binafsi ya watu kadhaa.
Najiunga NCCR mageuzi ili niweze kutekeleza haki yangu ya kimsingi kama ilivyoainishwa na ibara ya 20(1) ya katiba ya JMT. Kesho naenda ofisi za karibu nachukua kadi na nalipia ada za mwaka mzima. Maana Oktoba inakaribia na kuna wabunge na madiwani wa CHADEMA asilimia 96 hawatapata viti vyao. Kwa ujumla nimejiongeza.
Akuone unavyorembua huku unatafuna matobholwa kama bazoka.We unaitaka ya nini?
Kejeli zako na matusi hazikusaidii. Usiingilie uhuru wa mtu. Na kama unataka kuingili uhuru wangu usingekuja na Id fake.Wambeya kama weye huwa tunajua kwa kuwatekenya.Umeonesha rangi yako tayari.Ni chawa wa kwenye upindo wa gagulo la kichaa.
Sijakukejeli.Weye ni chawa wa kwenye gagulo.Unapaswa uuwawe kwa rungu.Kejeli zako na matusi hazikusaidii. Usiingilie uhuru wa mtu. Na kama unataka kuingili uhuru wangu usingekuja na Id fake.
Kujifukiza kwenu ndio mnizuie kuchukua kadi ya Nccr mageuzi?Tuko busy na tunafukiza mipapai, hebu atulie kwanza!
Sawa sasa unachelewa nini kuniua?Sijakukejeli.Weye ni chawa wa kwenye gagulo.Unapaswa uuwawe kwa rungu.
Opposition party. Hatujashika madaraka.NCCR ni Chama cha upinzani au tawi la Ccm? Ajabu badala ya kushindana na Ccm wao watapambana na Chadema.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nenda tuuKujifukiza kwenu ndio mnizuie kuchukua kadi ya Nccr mageuzi?
Una mawazo mfu haupaswi kuuwawa tena.Already dead and lonely corpse!Sawa sasa unachelewa nini kuniua?
Subiri october Mungu akipenda utaniona mjengoni.Una mawazo mfu haupaswi kuuwawa tena.Already dead and lonely corpse!
Labda vya kupewa lakini hakuna mtu mwenye akili timamu atapigia hao mamluki kura! Nasema labda wapewe...mbatia yuleee namuona kwa mbaali kama anaviti takriban 10 na ushehe vya ubunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uende mjengo wa vichawi na vijitu vinavyojikojolea vikimuona Mbowe.Subiri october Mungu akipenda
utaniona mjengoni.
Mh... Hii kaliLabda uende mjengo wa vichawi na vijitu vinavyojikojolea vikimuona Mbowe.