Nimeamua kujiunga jf.

Kagose

Member
Jan 26, 2014
32
4
Kwa muda mrefu nimekuwa msomaji wa mijadala mbalimbali hapa jf lkn sikuwahi kuwa miongoni mwa members wa humu.

Kwa kuwa nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu hapa jf,niliweza kubaini kuwa kuna makundi tofauti tofauti humu ambayo utofauti wao unatokana na itikadi za kisiasa.Tofauti hizo zinapelekea kuwepo kwa majina ya Lumumba Buku 7 FC na Team Bavicha.

Niweke wazi msimamo wangu kuwa sitakuwa miongoni mwa wale ambao kwa makusudi kabisa wameamua kujitoa ufahamu na kutumika katika misingi ya tumikia kafiri upate mtaji wako!

Naomba kukaribishwa!
 
Karibu sana Kagose, jitahidi kutekeleza ahadi yako ili jukwaa letu liwe bora kama ilivyokusudiwa.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana lakin si siasa tu hata walevi wa soka tupo,karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom