Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Tafuta mtaala wa Eackernforde Tanga University utakufaa.Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.
Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.
Habari wana JF,

Open Yunivasite ofu Tanzania
Mi wananibania kwenda kusoma wakati nina vigezo vyote cjui wanahofia nini wakati mi Masters nasoma ili nipandishe kiwango cha mshahara na sio kwa nia ya kutaka vyeo vyao kwenye barua nimeandika kabisa nkimaliza ntarudi kushika chalk sitaki vyeo vyao

Ha ha ha je uko kwenye "mpango" wa kwenda masomoni? Watanganyika bwana kwa kuwekeana vizingiti hatujambo!

akili ndogo inapotawala akili kubwa ndo matokeo yake haya sasa!
sure,,,some time unafos ili mambo yaende,,,,i did this naenda job 2 deiz,,,3deiz nipo darasan