Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

sasa ulikuwa unajisifia nini kwamba hucheat wakati unajua hakujaziba. endelea kuliwa ila nikijua ndo mwisho, wewe si umejua ila bado upo mimi haitakuwa hivyo.
Hahahhah yaan unatafuta sababu ya kucheat nishakuambia hyo huwez ipata kamwe we endelea ndio nishajua na sijatoka endelea kusubir ujue ili ndoa iwe basi
 
Unanitukaniaga hadi mama angu mzazi lini nimewsh kukutukana msenge mimi? Acha kuniwekea vtu visivyokuepo
 
mi kwa maadili hapana huwa wanaficha,, labda mkeo umemuumiza sana........ chonde chonde ni faamilia yenu hayanihusu lakini naomba mtoto fikirieni namna .. msimuumize naomba
tuombee muujiza tu kwa kweli, mimi m.sen.ge!!! mbingu zitaanguka. ni muujiza tu utakaonirudisha sawa, tuombeane tu.
 
Kama kuna kiumbe huwa simuelewi basi ni mwanamke!
very confusing, hakuna kitu utakifanya ukadhani umepona. huyu nimemfanyia mengi, eti leo anasema anashindia ndondo nyumbani, sina uwezo kiivyo lakini mwanaume nimejitwika mkopo wa miaka 5 apate gari ya kutembelea mjini asihangaike, leo nishindwe kumlisha na familia yangu, hadi unacheka.
 
Jiunge na makabila jasiri mbona atakimbia mwenyewe. Mkuria na mmasai
mwanaume sina mkono wa kunyanyua hata mkono kumpiga kofi tu. watu wanaomzunguka huwa wanamshangaa sana. akili yote ipo kuchunga tu mwanaume hata kulea mtoto hawezi.
 
Akishakuponyoka ndo utajua umuhimu wake na gharama yake!
mkuu ikitokea hivyo bado si mbaya maana huwezi kuogopa kufanya maamuzi, hilo unalosema hata kwake laweza kutokea pia. naweza kweli mimi nikawa mtu wa wanawake ila kuna wanaume wengine ni majambazi na wachawi.
 
Back
Top Bottom