Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

Wanajukwaa, wife kaniwekea mitego kila kona, kuanzia kwenye simu hadi kwenye makampuni ya simu, katika mitandao na kila sehemu. Ukitoka tu nyuma unafatiliwa, sina pa kupumulia. Kila unalofanya analijua.

Nimejiuliza sana, kwa namna hii nitakuwa mwanaume wa aina gani? mwanaume wa kunyooka tu kwenye mstari!!! HAIWEZEKANI .

Nilichoamua ni kujitoa mhanga, nimeamua kuweka mambo wazi sina sababu tena ya kuendelea kujificha maana haina maana kwani hata ukijificha ni kama mbuni kujificha kichwa wakati mwili wote upo nje. Liwalo na liwe.

Hayo ni maradhi yako, acha kutuchafua wanaume wote... Mimi binafsi sina maradhi ya hovyo hivyo... Kuna wanaume tunazipenda familia zetu kuliko maelezo mpaka shetani anaogopa
 
inawezekana kabisa.
Mmhh nafuta kauli yangu, naona kivumbi hiki si size ya comment nilotoa (nilitania tu)
BTW kaeni chini mzungumze myamalize,
Hasa we JEKI na mkeo km inamhusu achaneni na kiburi cha uzima, mkumbuke kesho kuna magonjwa na mabalaa,
Nani atamfariji nani km mnakuwa na vihelehele hivi kisa mu wazima wa afya na mnawaza kwa kiburi cha uzima?
Ukiugua hoi kitandani mwezi unaweza waza haya unayoyawaza na kupost hapa?
Acheni UJINGAAAAA..!! Aaaahhh!!
 
basi basi kaeni mfikirie future ya mtoto .. mengine mda utaamua...... mbaya sana
hivi kuna mwanamke anaweza kumtukana mmewe msenge? yaani hapa ninachofikiria ni arrangement tu ambayo haitaleta athari kwa mtoto.
 
hivi kuna mwanamke anaweza kumtukana mmewe ******? yaani hapa ninachofikiria ni arrangement tu ambayo haitaleta athari kwa mtoto.
miss chagga, unaweza kumtukana mmeo m.s.e.nge?.
 
hivi kuna mwanamke anaweza kumtukana mmewe ******? yaani hapa ninachofikiria ni arrangement tu ambayo haitaleta athari kwa mtoto.
mi kwa maadili hapana huwa wanaficha,, labda mkeo umemuumiza sana........ chonde chonde ni faamilia yenu hayanihusu lakini naomba mtoto fikirieni namna .. msimuumize naomba
 
Back
Top Bottom