Nimeamua kuiunga mkono CHADEMA sababu ya misimamo thabiti ya Heche na Lissu

Nimeamua kuiunga mkono CHADEMA sababu ya misimamo thabiti ya Heche na Lissu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,931
Huu ndio ukweli usiopingika.

Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe

Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu.

Kupinga utekaji na unyanyasaji.

Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
 
Huu ndio ukweli usiopingika.

Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe

Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu.

Kupinga utekaji na unyanyasaji.

Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
Aisee wewe kabisa? Au ndio akaunti ya musiba hii haaahaaa
 
Back
Top Bottom