Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,088
- 2,232
Habari zenu wakuu na poleni na majukumu yenu ya kazi.
Nianze kwenye maada husika kuna wazo nimelipata nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji mixer kanga eneo ninalo nimelinunua mwaka jana hekari 8 nje mwa mji wa Dodoma na nikiwa na plan za kulima ila wazo limebadilika kutokana na uharisia wa mvua sio za uhakika Sana.
Ningependa kushauriwa.
1)kanga na kuku wanaweza kuzaa wakiwichikwichi
2)magonjwa ya kanga na kuku yanaweza kuambukizana
3)je nianze na kuku wangapi Na kanga wangapi na kwa muda gani?ili niweze ingiza kipato cha angalau laki 7 kwa wiki
4)wataalamu wa masoko ni kuku wa aina gani unaweza kuwauza kwenye soko la kimataifa
Nimeamua kupunguza kamtaji kangu ka m pesa kutokana na laini nyingi tunazouziwa mtaani zinafutiwa usajiri na wahusika tunapata hasara.
Note;laini ninazo kwa sasa za kwangu pm sihitaji wazo zuri toa hapa nisipofanya atafanya mwingine
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]