Nimeamua kuacha mazoezi ya GYM...!

Nimeamua kuacha mazoezi ya GYM...!

Lakini Mtambuzi, huoni kwamba kubaki na hii picha ni sawa na kuendelea kuwa na hawa masister do, huko gym?
 
muelezeeee. na hatuvai kofuli kabisaaa, ataisoma!
gym ya nini mshua; si umsaidie maza kuchota maji?

King'asti nakusalimu. Niko BOMAS of KENYA NAIROBI kuhakikisha Odinga anashinda, nitakuja TZ weekend hii.
 
Last edited by a moderator:
muelezeeee. na hatuvai kofuli kabisaaa, ataisoma!
gym ya nini mshua; si umsaidie maza kuchota maji?

We mwana we ni faza ako huyo afu unamtajia kofuli..!?? ndo u dijitali au.. afu this wikend nataka nikupeleke Mbudya island.. , afu mumeo keshampiga pingu Baba V tayari
 
Last edited by a moderator:
DSC00427.JPG


Hawa wadada ninaofanya nao mazoezi ya AEROBICS wananitega na makalio yao ndani ya skin jinzi, nimeamua kuacha mazoezi kuanzia leo maana wananitia vishawishi.

Ngoja nitafute njia mbadala ya kupunguza uzito, hii ya Gym itanitia dhambini.


Najua hapa snowhite, gfsonwin, mwaJ, Asnam na King'asti watanizushia jambo.....

Heshima mkuu....watatu kuelekea kushoto mstari wa mbele..ambaye anaangalia huku....anaelekea ameyazoea hayo mazoezi...nimeangalia woote hamna aliyeliweza hilo zoezi kama yeye..tena kwa kujiamini....alafu hapo pako kama south beach kigamboni.....hiyo Gym sio ya kuacha kabisa.
 
DSC00427.JPG


Hawa wadada ninaofanya nao mazoezi ya AEROBICS wananitega na makalio yao ndani ya skin jinzi, nimeamua kuacha mazoezi kuanzia leo maana wananitia vishawishi.

Ngoja nitafute njia mbadala ya kupunguza uzito, hii ya Gym itanitia dhambini.


Najua hapa snowhite, gfsonwin, mwaJ, Asnam na King'asti watanizushia jambo.....

Hata mie nimekoma kuwafanyisha mazoezi kina Paloma, amu, charminglady Madame B, gfsonwin, Asnam, Remmy, Smile snowhite et el. Watu wenyewe wagumu kweli kuelewa.

Mzee mwenzangu, mtafute KakaKiiza tuanzishe gym yetu bana.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
mara mia umekoma ingawa nina wasiwasi kama umeacha jumla au umepumzika kwa muda,afu mtu mzima kama ww unakubali kujishushia hadhi hapa jamvini yaani hao wote umewatumia maombi wamechomoa basi una mkosi kaoge mtoni.
Potelea mbali, hata wakinichomolea mi nafaudu kupiga chabo naona unataabiiiika na upweke.

.
boyfriend-pillow-funny-picture.jpg
 
Potelea mbali, hata wakinichomolea mi nafaudu kupiga chabo.

attachment.php

unazidi kuathirika kisaikolojia wakati vidosho kitaani wamejaa hadi wanamwagikia,kuna brand new products kutoka Necta tuma application uwowe jumljumla.
 
unazidi kuathirika kisaikolojia wakati vidosho kitaani wamejaa hadi wanamwagikia,kuna brand new products kutoka Necta tuma application uwowe jumljumla.
Hehehehehe afu wewe........? Hiyo picha umeitoa wapi? Ukikua najua utaacha

523074_500556176663804_1098886535_n.jpg
 
Safi sana, ila angalia usije ukaghafilika. Manake nyie vibinti vya dot com hamchelewagi

dead_spy_women_in_nature_3_by_vma140.jpg

hata niwe na matatizo gunia zima sijawahi fikiria huu upuuzi,hebu nenda mmu unipe maushauri ujue nina msongo wa mawazo.
 
Back
Top Bottom