Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
Nielekeze njia nianze maandamano.
hahahaha kuna thread kule utaikuta hata kipofu ataiona
Nielekeze njia nianze maandamano.
Nije jukwaa la wakubwa au?Afu njoo umchukue mwanao.
Nije jukwaa la wakubwa au? Manake weweeee... akili yako unaijua mwenyeweAfu njoo umchukue mwanao.
Nije jukwaa la wakubwa au? Manake weweeee... akili yako unaijua mwenyewe
![]()
Afu wewe sikupendi kama zamani. Nkiki?na ujue mzee klemeee anakudai kule..................
Afu wewe sikupendi kama zamani. Nkiki?
Kwani katika hiyo picha aujamuona mtu aliye mtag??sijakuelewa
Nije jukwaa la wakubwa au? Manake weweeee... akili yako unaijua mwenyewe
![]()
Ahaaaa umeona!!!Hahahahaaaaaaaaa............. wewe, Mkareeeeeeeee,
Umeunganisha Dot, mpaka umepata jibu.
Nije jukwaa la wakubwa au? Manake weweeee... akili yako unaijua mwenyewe
![]()
Mh!
We nawe macho yako yatakuwa na matatizo.
Ndo mana huwa mie siendi gym zenye mixer; i mean me na ke maana najua huko ni utata mtupu, na haya mavazi yetu, ndo balaa.