Nimeamini wanawake sio watu wa kawaida

Nimeamini wanawake sio watu wa kawaida

Walimu wa wanawake ni wanaume
Kwani shetani ni mwanaume?

Acha kutupakazia. Hatujui mlianzaje maongezi na shetani. Tunajua moja tu la kula tunda.

Lakini mwalimu wa wanaume, Yesu kristo alituambia TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI SANA.
 
Kwani tatizo la ushoga wa kulaumiwa ni shoga au basha? Think greatly
 
Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa.
Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na kumsifia na kutuma comment kibao kuwa yeye ni mzuri.
Ni kawaida sana siku hizi mwanaume kumkuta insta live anajichokonoa dudule lake na watu watu wapo busy wanamwangalia ( wanawake na wanaume wenzie) na kumsifia ana dudule kubwa.
 
Kwani mmesahau kuwa nyie ndio walimu wenyewe!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] namkifanikiwa mnaappreciate hivyohivyo au mnapofeligi tu! Maana mwanamke akifanikiwa husema boss lady au strong and independent woman na kusema hamuitaji mwanaume. Au hili ni kwaupande mmoja tu, maana akianguka tu basi ndio anataja mwanaume ndio mwalimu wake[emoji23][emoji23]
 
Kwanini unatujumuisha wanawake wote.. as if hakuna wanaume wanaofanya mambo ya ajabu juzi kumevuja video ya yule afande mwanaume maana ake tuseme wanaume wote mashoga?
Kawaida tu, don't take it seriously. Maana yapo misemo mingi inajumuisha wanaume wote ila hujasikia mwanaume akilalamika, mfano wanaume wote mbwa, so punguza hisia, kisu kikali hukata pande zote.
 
juzi kumevuja video ya yule afande mwanaume maana ake tuseme wanaume wote mashoga?
Ongezea wanaume wote wa Zanzibar mkuu umeacha neno hapo, fanya correction kidogo
 
Ni kawaida sana siku hizi mwanaume kumkuta insta live anajichokonoa dudule lake na watu watu wapo busy wanamwangalia ( wanawake na wanaume wenzie) na kumsifia ana dudule kubwa.
Huu ni uwongo hadharani NAOMBA jina lake LABDA huyo ni shoga
 
Mwanamke mke mmoja aliyesoma tena ngazi za juu kabisa ni sawa na makondoo 40 yenye vichaa mwalimu wangu wa madrsa alinambia
Huu ni ukweli mtupu mkuu nilichojifunza kwao ukiruhusu akupande kichwani anakupanda haswa.
 
Mkuu hilo ndio limekushangaza hadi uje hapa kuandika kuwa ni ajabu? Nimeanzisha kanisa, kesho ni jpili uje nikuombee.
Kama unaona ni kawaida ujue ni matokeo ya mipango ya Ibilisi kasababisha tuone haya mambo kawaida sasahivi ukisema Shoga watu wanaona ni kama unamzunguzia mwizi wa kawaida
 
[emoji23][emoji23][emoji23] namkifanikiwa mnaappreciate hivyohivyo au mnapofeligi tu! Maana mwanamke akifanikiwa husema boss lady au strong and independent woman na kusema hamuitaji mwanaume. Au hili ni kwaupande mmoja tu, maana akianguka tu basi ndio anataja mwanaume ndio mwalimu wake[emoji23][emoji23]
Inategemea.
 
Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa.
Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na kumsifia na kutuma comment kibao kuwa yeye ni mzuri.

Wewe uliona au ulihadithiwa?
 
Waliosema mwalimu wao wanawake ni kipofu Hakukosea kabisa.
Ni ajabu mtu(mwanamke) kumkuta Instagram yupo LIVE yupo kama alivyozaliwa anajishika shika na watu ( Wanaume ) wapo busy wanamwangalia na kumsifia na kutuma comment kibao kuwa yeye ni mzuri.
Instagram naweza kata miezi bila kugusa kicho kitufe. Naona uchuro tu
 
Mtu anaenda bar halafu anashangaa watu kutumia kilevi. Huko ulipoenda kuna wahusika wake.
Siku ukienda kanisani ukakuta mtu yupo uchi halafu waumini wanamtazama na kumsifia ndo shangaa.
 
Hoja muflis kabisa!. Sasa hoja gani hiyo dhaifu dhaifu kama pumbu za shoga?

Au wewe ni pimbi?
 
Back
Top Bottom