Unafikiri umenifundisha😂😂, kama kufundisha ni kudhalilishana basi kila mtu angekimbia darasa.
Kamwe hamna mtu ni kila kitu katika maisha, malezi asilimia 70-80 yatachangiwa na mzazi ila asilimia 20-30 ni jamii husika. Mwalimu vivyo hivyo, maana mwalimu pia ni binadamu laasivyo ndio tunaona kinatokea kizazi cha ajabu kuwahi kutengenezwa maana wanafunzi hukaa shule boarding wakidhani mwalimu ni kila kitu. Kamwe, maana mwanafunzi utamfundisha ila moyo wakuyapenda masomo husika huwezi kuforce hatauinspire mara mia kwakuwa mapokeo yasomo husika ndio hujenga inspiration ndani yake yakutaka kujua zaidi maana kuna siku mwalimu hatakuwepo basi haimaanishi nitaacha kutaka kujua zaidi. Stick to teaching not inspiring.