mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
- #41
Kama mmefikia hapa as if watu walio single under same roof....kuna vingi vitaibuka hapo mbele I na you will never hold on anymore...
Isiwe hivyooo
Kama mmefikia hapa as if watu walio single under same roof....kuna vingi vitaibuka hapo mbele I na you will never hold on anymore...
We unaonaje?Vipi Baba yako ni mbwa koko au manunu?
Kama huna uwezo wa kumuacha usimchunguze
Akikupiga na tukio kubwa zaidi naomba uni tagNimetoka kumaliza kesi na mpnz wangu ila roho imeniuma sina namna
Mpnz wangu ni wale watu ambao wanapenda sana kujua habari za ex nishaletaga mada hapa alivyoninunia kumsimulia juu ya ex
Kusema ukweli sijawah kumwambia ule ukweli kabisa kuhsu ex huwa namdanganya danganya
Basi bhn katika kukagua picha zangu kwenye simu yangu akakuta picha za ex wangu yeye hamjui… mimi huwa sina kawaida ya kufuta picha kiasi kwamba nina picha zaidi ya elfu 3 kwenye simu yangu na simu ni ya muda kidogo…
Ubaya kuna baadhi ya picha za ex zilikuwa hide kwa file nyingine ni picha sensitive sio za uchi sema ni zile ambazo zimepigwa marufuku kuonekana hivyo kipindi ananitumia alikuwa akisema niwe nazo makini so nikawa naziweka kwenye hidden file….
Sasa mpnz alipoziona hizo picha akaniuliza huyu ni nani nikasema ni rafiki yangu kumbe yeye tayari alishajua maana zilikuwa Picha kama 10 hivi na ubaya zaidi alikuta na zingine kwenye hidden file so akajua moja kwa moja namdanganya…
Akauliza anafanya kazi gani nikamdanganya kumbe tayari alijua kukazuka ugomvi mimi muongo ikabidi kuombana msamaha nikamweleza ukweli yakaisha
Kinachofanya niseme wanaume ni wabinafsi ni hili
Wakati anakagua simu yangu na yeye alinipa yake nikawa natazama alifutaa mauchafu yake ili nisione ila alisahau kwenye account zake za Facebook na Instagram
Wakuu niliingia messenger na DM yake aisee ni makubwa yaani mpnz wangu anakazi ya kutongoza wadada wa huko na kuwatumia namba zake wamtafutee… anawasifia wanawake sijui waremboo [emoji849][emoji849]
Sms ilioniuma alimwambia mdada amebadilika siku hzi sijui kammis waonane yule dada akamjibu kwamba kuna siku alimwita kusema kammiss kumbe alitaka alambee tu asepee [emoji1787]
Ukweli nimeumiaa ila sikumwambiaa kama nimeonaa upuuzi wake… daaaah
Wanaume acheni ubinafsiii
NB… mwanaume wangu nampendaaa sanaa hata kwa hili pia simuachii [emoji38]
Kwanza ukishaachana na ukapata mtu mwingine, futa mawasiliano ya mtu aliyepita... Wewe unatunza picha za nini, inaonesha hupo kwenye hayo mahusiano kama geresha, bado unampemda X wako.
Uenda hata huyo bwana yako anawatongoza wengine kwa sababu anaona mwanamke ueleweki.
je wewe huwa pia unakagua simu? [emoji23]Nini tena honeyyy??
Me nishakwambia bikra yangu ilitoka na bicycle ukafata wewe. Sina exit wala example
Huko peke yako bhana [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
OGOPA MATAPELI Lamomy wa Countrywide
Kuna lingine?? [emoji12]
Akikupiga na tukio kubwa zaidi naomba uni tag
Kwa interval gani?!! Mkishakua wapenzi ngumu sana kupima kila mara!!Hii sentence yako mkuu nilishamwambia hadi yeye Maradhi maradhi …. TunapimanA kila tukikutanaa
Na kwa kazi anayofanya afya yake ndio mtaji wake hope yupo makini
Usingekua unaangaika na picha za zamani kuchunguza au kutunza, kama ungekoma, unaweza kua umepitia wapenzi wengi wa aina ile ile hukuweza kuvuka stage moja kuenda nyingine katika mapenzi.Mkuu mimi nishavuka mishale mingi nimekomaa ingekuwa zaMani nahisi ningekuwa kama yule mwenye uzi wa kuchoma nguo za mpnz wake
Usingekua unaangaika na picha za zamani kuchunguza au kutunza, kama ungekoma, unaweza kua umepitia wapenzi wengi wa aina ile ile hukuweza kuvuka stage moja kuenda nyingine katika mapenzi.
Kwa interval gani?!! Mkishakua wapenzi ngumu sana kupima kila mara!!
😂😂Nilitaka nikushauri ila nilipoona Umesema unampenda huwezi kumuacha, Nimechukua jembe naenda kulima😂
Haya kila la kheri!!Mapenzi yetu ya Bluetooth so kila tukikutana checkup muhimu tunajipima wenyewe
Ndo mnaelekea huko ....amini nakwambia subiri uone na sumu kingine utatafuta..just wait buddy 😂Isiwe hivyooo
mimi huwa sina kawaida ya kufuta picha kiasi kwamba nina picha zaidi ya elfu 3 kwenye simu yangu
Utakuwa Alien Kama Sio Jadu.file nyingine ni picha sensitive sio za uchi sema ni zile ambazo zimepigwa marufuku kuonekana hivyo kipindi ananitumia alikuwa akisema niwe nazo makini so nikawa naziweka kwenye hidden file…
Kumbuka mbwa natombana na mbwa mwenzake kwa hiyo na wanawake ni mbwa jikeWanaume wote ni mbwaaa[emoji1787][emoji1787] jitahidi tu usichague mbwa koko wala manunu walau kuwa na Bulldog, GS huko nk
Umechanganya mafile...😅We si ndio wa kula kimasikharaaaaa[emoji1787]