Nimeamini wanaume ni wabinafsi

Nimeamini wanaume ni wabinafsi

Kwa uzuri alionao hilo wala sio shida. Kuna pic ningekuwekea hapa alafu useme je wewe ungejali ya huko nyuma?

Btw namuamini sana lamomy ni mjanja na ana akili nyingi sana, utafanya nae kila masihara kadri unavyotaka but hataruhusu usogee hata inch moja karibu yake
nakubali mzee,

wewe enjoy zako....

na hilo base lake kweli ni wa pekee nisingeangalia nyuma😂
 
Kwa uzuri alionao hilo wala sio shida. Kuna pic ningekuwekea hapa alafu useme je wewe ungejali ya huko nyuma?

Btw namuamini sana lamomy ni mjanja na ana akili nyingi sana, utafanya nae kila masihara kadri unavyotaka but hataruhusu usogee hata inch moja karibu yake

[emoji7][emoji8][emoji3059][emoji3059] mshamba_hachekwi uwe na adabu na kaka ako au unataka afe ili uwahi kunirithi??
 
Picha kuna sehemu mbalimbali pa kuzipeleka ila sio kukaa kwenye simu kabisaaaaaa.. moja kubwa ni ... Na unaweka code nzuri tu utajua wewe tu ni yapi yamo
 
Humpendi . Still your ex is on your head ndo maana hujafuta pic zake.

Hajafanya upuuzi wowote, wanaume hawataki wake zao wawe na kumbukumbu yoyote ya nyuma (labda ya kwenye ubongo ) hasahasa picha.

Wewe ndo una ujinga kichwani.

Sawaaa ila nampenda
 
Cha mgema huliwa na mlevi.

Wote mmekutana mnafanana

Birds of the same feathers fly together.

Wewe picha za Ex za kazi Gani!?

Anyway kwenye suala la UBINAFSI Wanawake nyinyi ni Mabingwa kweli kweli Hilo halina ubishi majority mko hivyo.
 
Bado uchanga wa mapenzi, unajua mapenzi yana stage kama 5 nyie mko ya pili,......ikifika stage ya 5 mambo ya fb instagrm mara picha unaona ni ujinga tu.

Unaweza kuziorodhesha izo stage
 
Back
Top Bottom