Nimeamini wanaume ni wabinafsi

Nimeamini wanaume ni wabinafsi

Ubaya kuna baadhi ya picha za ex zilikuwa hide kwa file nyingine ni picha sensitive sio za uchi sema ni zile ambazo zimepigwa marufuku kuonekana hivyo kipindi ananitumia alikuwa akisema niwe nazo makini so nikawa naziweka kwenye hidden file….
Kwanini uwe nazo wakati tayari usha move on na una mahusiano mapya?
 
Mambo ya kukagua Simu ya mtu ni kujitafutia presha na hekaheka tu dear!

Wanaume wana tabia ya kujaribu jaribu na wana tamaa ya muda mfupi...!

Kwakwelii nimeachana nayo ni huzuni
 
Cha mgema huliwa na mlevi.

Wote mmekutana mnafanana

Birds of the same feathers fly together.

Wewe picha za Ex za kazi Gani!?

Anyway kwenye suala la UBINAFSI Wanawake nyinyi ni Mabingwa kweli kweli Hilo halina ubishi majority mko hivyo.

Mmh
 
"Picha sio za uchi, Ila sensitive, alafu zimepigwa marufuku" . Nazani Kuna kitu hakipo sawa hapa.

Ni za kazini… sorry siwezi kuweka everything… nishasema sio za uchi na wala sio za mimi na yeye ni za yeye peke akee
 
Haya sawa endeleeni hivyohivyo hadi mleteane UKIMWI
 
Back
Top Bottom