mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
M
😬😬mwanaume wangu nampendaaa sanaa hata kwa hili pia simuachii![]()
Hajapata pigo takatifua huyu asubiri aone, ze time will tell 😂Nilitaka nikushauri ila nilipoona Umesema unampenda huwezi kumuacha, Nimechukua jembe naenda kulima😂
Mfuniko na pipa mkuuWala usituseme wanaume sema nyinyi mmekutana mfuniko na kopo lake!,endeleeni hivyohivyo mpaka maji muite mma.
Hayo sio mapipa ni makopoMfuniko na pipa mkuu
Bado uchanga wa mapenzi, unajua mapenzi yana stage kama 5 nyie mko ya pili,......ikifika stage ya 5 mambo ya fb instagrm mara picha unaona ni ujinga tu.Nimetoka kumaliza kesi na mpnz wangu ila roho imeniuma sina namna
Mpnz wangu ni wale watu ambao wanapenda sana kujua habari za ex nishaletaga mada hapa alivyoninunia kumsimulia
NB… mwanaume wangu nampendaaa sanaa hata kwa hili pia simuachii [emoji38]
Nimeupenda huu uzi Nilionyesha uzi huu kwa familia yangu na wao pia wamependa uzi huu. tumenunua Projector na tukaonyesha uzi huu kwa mtaa mzima na pia wameupenda uzi huu, Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya uzi huu. Tunashukuru kwa uzi huu asante sana kwa uzi huu.Nimetoka kumaliza kesi na mpnz wangu ila roho imeniuma sina namna
Mpnz wangu ni wale watu ambao wanapenda sana kujua habari za ex nishaletaga mada hapa alivyoninunia kumsimulia juu ya ex
Kusema ukweli sijawah kumwambia ule ukweli kabisa kuhsu ex huwa namdanganya danganya
Basi bhn katika kukagua picha zangu kwenye simu yangu akakuta picha za ex wangu yeye hamjui… mimi huwa sina kawaida ya kufuta picha kiasi kwamba nina picha zaidi ya elfu 3 kwenye simu yangu na simu ni ya muda kidogo…
Ubaya kuna baadhi ya picha za ex zilikuwa hide kwa file nyingine ni picha sensitive sio za uchi sema ni zile ambazo zimepigwa marufuku kuonekana hivyo kipindi ananitumia alikuwa akisema niwe nazo makini so nikawa naziweka kwenye hidden file….
Sasa mpnz alipoziona hizo picha akaniuliza huyu ni nani nikasema ni rafiki yangu kumbe yeye tayari alishajua maana zilikuwa Picha kama 10 hivi na ubaya zaidi alikuta na zingine kwenye hidden file so akajua moja kwa moja namdanganya…
Akauliza anafanya kazi gani nikamdanganya kumbe tayari alijua kukazuka ugomvi mimi muongo ikabidi kuombana msamaha nikamweleza ukweli yakaisha
Kinachofanya niseme wanaume ni wabinafsi ni hili
Wakati anakagua simu yangu na yeye alinipa yake nikawa natazama alifutaa mauchafu yake ili nisione ila alisahau kwenye account zake za Facebook na Instagram
Wakuu niliingia messenger na DM yake aisee ni makubwa yaani mpnz wangu anakazi ya kutongoza wadada wa huko na kuwatumia namba zake wamtafutee… anawasifia wanawake sijui waremboo [emoji849][emoji849]
Sms ilioniuma alimwambia mdada amebadilika siku hzi sijui kammis waonane yule dada akamjibu kwamba kuna siku alimwita kusema kammiss kumbe alitaka alambee tu asepee [emoji1787]
Ukweli nimeumiaa ila sikumwambiaa kama nimeonaa upuuzi wake… daaaah
Wanaume acheni ubinafsiii
NB… mwanaume wangu nampendaaa sanaa hata kwa hili pia simuachii [emoji38]
Nilitaka nikushauri ila nilipoona Umesema unampenda huwezi kumuacha, Nimechukua jembe naenda kulima[emoji23]
Wala usituseme wanaume sema nyinyi mmekutana mfuniko na kopo lake!,endeleeni hivyohivyo mpaka maji muite mma.
Vipi Baba yako ni mbwa koko au manunu?Wanaume wote ni mbwaaa[emoji1787][emoji1787] jitahidi tu usichague mbwa koko wala manunu walau kuwa na Bulldog, GS huko nk
[emoji51][emoji51]