Nimeamini nimeshindwa kukaa bila ya mwanamke

Nimeamini nimeshindwa kukaa bila ya mwanamke

haraka hizi za kuziba pengo ndio zmesababsha laki zako 2 zkaliwa (angalia usgeuke Munisi) bila kutimiza utakacho. Bado hujajipata wewe ni nani na unataka nin kwa ke wa namna gani. Tuliza akili, pumzsha moyo vidonda vipone ndio uchomoze shngo tena kuchungulia kinachoendelea kwenye dunia ya mapenz.
Tatizo sio haraka ni mazoea nilikwa kwenye uhusiano miaka minne halafu ukatishwa gafla ningefanyaje ndugu yangu.
 
Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.
Kama uko morogoro nenda pale Kahumba- wapo wa kumwaga
 
why hamkufunga ndoa muda wote huo???ulikua bado wamchunguza
Mwaka mmoja alikuwa anasoma.baada ya utambulisho kwa wazaz wake wakaleta ugumu.huyo mwanamke akanishauri tukakae wote kweli nilikaa miaka 3 mpaka wazaz wake wakakubali kwani ulipita Mwezi basi,visa vikaanza ndani miezi 4 akachukuliwa na bodaboda.naamini kulikuwa na nguvu ya giza.
 
Ulipotaja tu laki 2 nikajua ww ni kilaza sekta hii....gab munis anazikwa ln?
 
subiria mke mwema anatoka kwa bwana, we vumilia tu usiharakishe maisha.
 
nimekuelewa kaka.ila niliumia sana waliponichukulia yule msichana.

huyo hakuwa wako,anayekupenda labda alishakufa long time kaka.
(yakuza mobb ft dito-"unayempenda anapendwa na wengi")
mwenzio nilishaacha biashara hizi longtme ago.
mkuu,ogopa sana viumbe wa kike,usiseme unampenda hata kama unamtania.
viumbe hawa hata Muumba walimshinda,hatawaweza mwanaume!
Wanaume wengi wanafanya mambo ambayo hata Muumba hajawatuma,hapo lazima umalize na Shetani.
Usijaribu kumpa moyo wako tena mwanamke,hutoumia tena.
 
Nashuruni wapendwa kwa ushauri.nilichojifunza nibora nitulie tu mpaka majaliwa yake Mungu.ingawa moyo unamsukumo sana lakin kama ndio mambo yenyewe yako ivyo bora nibakie hivi hivi.
 
Fanya kazi zingine mwanamke atakuja mwenyewe kama ajari vile
nashuruni wapendwa kwa ushauri.nilichojifunza nibora nitulie tu mpaka majaliwa yake mungu.ingawa moyo unamsukumo sana lakin kama ndio mambo yenyewe yako ivyo bora nibakie hivi hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom