Nimeamini nimeshindwa kukaa bila ya mwanamke

Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.

abooo kwamba wanakukataaa?
nenda kona baa ujipoze au jinyetue!!
 
Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.

ongeza dau hizi laki 2 hata simu hanunui.....
 
pole bro Z hayo ni mapito ambayo miongoni mwetu watu wamepitia ila hakuwa wako tena ungemng'ang'niani ungepoteza zaidi ya laki.mke hatafutwi kwa pesa ipo siku wako atakuja.
 
Tulia....keep calm......atakuja
Mmmmh!! Sikubaliani na wewe huu ni mwaka sasa unakatika tokea nimeachana na aliyekuwa girlfriend wangu kutokana na tabia zake ambazo hazivumiliki/kurekebika(sipendi kuziweka wazi hapa)ila unaweza ukaziita ugonjwa wa Ukoo wao(wanawake wote kuanzia bibi mpaka mama yakle mzazi na dada zake wanaumwa hizo TABIA CHAFU)
Basi nikaambiwa piga kimya Rural Swagga mpenzi atakuja nimesubiri nimejiandikisha mpaka kanisani(mm ni mlutheri) nikaanza kuhudhuria ibada+sadaka na fungu la kumi lakini bado bilabila, watoto wa mjini wanasema bado JAU..Na kwa kweli sina tabia yeyote chafu na mbaya au madhaifu yeyote zaidi ya U-Workahollic wangu due to the nature of the Work(iam a programmer)Pombe dini yangu inaruhusu na huwa natumia kwa kiasi,Nimepanga chumba,nalipa umeme,maji,kingamuzi(sikitaji jina),Usafiri wa kawaida,Na kiwanja pia nimebahatika kuwa nacho japo ni nje ya jiji lakini najua ndani ya miaka 5 ijayo patakua pamepiga hatua kimaendeleo.WAPENDWA MPAKA LEO HII SIJAONA HATA DALILI YA HUYO MTARAJIWA AU NIMELOGWA?
cc/ Heaven on Earth
 
Kwelliii jf mwisho wa stress!!!! Raha tupu! Umenichekesha ndugu!
 
Hujarogwa wala nini........kuna wanawake huko nje nao wapo wenye sifa haswa
wanajiuliza hivi nitapata wapi mwanaume mwenye nia ya dhati...mi nakuombea
umpate mmoja wao lakin are u searching for the one au ndo unasubiria miujiza
indendeke kesho asubuhi umkute mlangoni kwako!!!!!!!
 
Ni miez 6 imepita tokea nilipoachwa na mpenzi wangu.nimehangaika sana kutafuta mwingine mimeambulia maumivu tu.nimetumia na hata hela zaid laki 2 lkn hamna kitu.nami nashindwa kukaa hivi najisikia mpweke sana.ushauri wenu wadau naombeni.
mkuu laki mbili ulizitumia kufanya nini?
 
Hujarogwa wala nini........kuna wanawake huko nje nao wapo wenye sifa haswa
wanajiuliza hivi nitapata wapi mwanaume mwenye nia ya dhati...mi nakuombea
umpate mmoja wao lakin are u searching for the one au ndo unasubiria miujiza
indendeke kesho asubuhi umkute mlangoni kwako!!!!!!!
Natafuta na ninajituma kwelikweli......Sijui Mwakasege atakuja lini tena Dar niwe nahudhuria kongamano.Naweza opoa mke kule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom