Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Hata usingeota..ila ndo huyo ameshaandaliwa tayar...na kama huamin subr 2015...hata akipita mtafanya nn!!!mana wa TZ weng tunajua kuongea lakin vitendo 0...

Iko hivi! Endapo atakuwa rais ( nasema hii ili nikufurahishe, sababu hatokuwa) basi wabunge watakuwa wengi ni wa upinzani. Sasa piga picha hapo.
 
Nimeona umakini mkubwa sana kwa Lowassa na kambi yake. Hawakurupuki, hawaropoki ovyo hawajibu tuhuma hovyo, wamejipanga vya kutosha na wako makini sana.

Sijawahi ona Lowassa akikurupuka kujibu tuhuma.
Sijaona Lowassa akisema sema ovyo.
Sijaona Tuhuma iliyothibitisha wazi kama Lowassa ni mwizi

LOWASSA
Amekuwa mtu makini sana
Mwenye msaada mkubwa kwa jamii
Mwenye kusikiliza
Anayesaidia vijana
Aliyewatoa watu wengi tofauti na hawa wabinafsi wetu
Mwenye mwelekeo maalumu
Asiyependa utani na mtu
LOWASSA
Hataowaonea huruma wazembe (Alifanya hivi pale alipokuwa waziri mkuu)
Hataacha mambo yaende kiholela
Hata kuwa na ubia kwenye urais wake
Atafanya maamuzi magumu
Atawaangalia wazee
Atawaangalia vijana
Hatawaacha wakinamama
Atawatetea wanyonge.
Atafufufua matumaini yalioachwa na Nyerere

Lowassa aweza ,Lowassa atosha.

Umemnadi sana huyu mjomba'ko.

Atakurupukaje na atawezaje kujibu tuhuma akati nimtuhumiwa na mwizi no.1 ????

HEBU MUULIZE SIMPLE TU NAMNA HII, """Mh.,UKUWA RAIS,UTASHUGHULIKIAJE MAFISADI?????"""

Halafu jibu utuletee humu ndani.
Najua utaogopa kumuuliza kwani unaamini #utamwaga_unga !!!
 
Kila nikitazama Tanzania na vutuko vyake huwa namkumbuka sana Lowasa kiongozi makini na anayetekeleza kwa vitendo kile anachomaanisha namuombea kwa mungu ampe uzima Huyu kiongozi makini aje kutuokoa zidi ya hawa makanjanja yanayotauna mpaka mfupa.
 
mimi pia kura yangu ni kwake....2015 for Lowassa
 
Mmetumwa Ninyi?...Nauliza ...Mmetumwaa....Eeh?

Wanga Wakubwa Ninyi
Tunataka Hela Zetu!!
 
Mmetumwa Ninyi?...Nauliza ...Mmetumwaa....Eeh?

Wanga Wakubwa Ninyi
Tunataka Hela Zetu!!

usituhusishe na matatizo yako ya akili kijana...tafadhali wai hospitalini. lowassa for 2015
 
Naomba nijue mazuri yake labda nami ntavutiwa,maana nchi hii ilipofikia tunaitaji mtu kweli kweli wa kufanya mabadiliko na si ushabiki tu,rushwa imezidi,ata ukienda benki kumuona rafiki yako unakuwa na wasiwasi na 'boxer'pindi utokapo,Kesi kutumia miaka mingi Mahakamani,Ajira za kujuana(mfano uhamiaji)Ufisadi(ambao sijawai kumsikia akikemea)Madawa ya kulevya(japo wahusika wanajulikana)Na ubabaishaji uliopindukia kwenye kila sekta mf Mahakama,Uhamiaji,Tra nk
 
liwasa anachukua nchi mwakani vizurii, manake escrow inaonekana imefunika tuhuma zake zote.
 
Kila nikitazama Tanzania na vutuko vyake huwa namkumbuka sana Lowasa kiongozi makini na anayetekeleza kwa vitendo kile anachomaanisha namuombea kwa mungu ampe uzima Huyu kiongozi makini aje kutuokoa zidi ya hawa makanjanja yanayotauna mpaka mfupa.

EdwardLowassa + AndrewChenge =___________
 
liwasa anachukua nchi mwakani vizurii, manake escrow inaonekana imefunika tuhuma zake zote.

Wee pumbavu kweli, kwa hiyo unamaanisha Watanzania sasa hatimaye wameukubali ufisadi. WaTz sio wajinga, kadri siku zinavyosonga mbele macho yanafunguka zaidi.
 
usituhusishe na matatizo yako ya akili kijana...tafadhali wai hospitalini. lowassa for 2015

......Sitoshangaa mkianza sema Chenge for minister of finance!! Tanzania kusonga mbele ni ngumu sana sababu ya watu kama wewe. Inakuwaje unataka mtu ambaye alikuwaga waziri mkuu akajiuzuru kwa kashfa za ufisadi aje kuwa rais wa nchi hii. Hiyo akili au matope!
 
raia Wengi Wa Nchi Hii Wana Matatizo Ya Akili toka Wanazaliwa
Hivi Utanishawishi Kwa Yapi Ya Maana Aliyonifanyia Huyu Mtu, Kwa Ajili Yangu Na Kwa Nchi Yangu?
Jigo
 
nikikumbuka dawasco.shule za kata.utendaji kazi wenye kasi na wak ati.utii wa sheria bila shurutu.ukaguzi wa miradi na utekelezaji wake.mradi wa maji toka lake victoria mpaka dodoma alipojiuzuru ukaishia kahama.mpango wa kujenga zahanati kila kijiji na mengine mengi sana nathubutu kusema Tanzania bila Lowasa haijawezekana.Kura yangu kwa Lowasa tu.
 
Ebu kuwa kiakili. Sasa majukumu ya waziri mkuu ni yapi? Ulitaka afanye nini? Mtu hasifiwi anapotimiza majukumu yake, asifiwe anapopitiliza kiwango alichowekewa. EL alikuwa anatimiza majukumu yake bila kuvuka mstari.
 
Back
Top Bottom