Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

Team Lowasa kazini.
 
Hii mada niliiposti usiku wa kuamkia tarehe 22 oct 2013 sikutegemea kuwa kuna taasisi kama TWAWEZA wanaweza kuja na takwimu iliyosawa na ndoto yangu. Mungu mkubwa,tutaheshimiana tu.
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

yaaani nimechekajeee!!! hahahahahaaaa!!!! we ni ZOMBI KWELI
 
hii mada niliiposti usiku wa kuamkia tarehe 22 oct 2013 sikutegemea kuwa kuna taasisi kama twaweza wanaweza kuja na takwimu iliyosawa na ndoto yangu. Mungu mkubwa,tutaheshimiana tu.

bado unaota auu???!!!
 
Watanzania Tumeshaapa Fisadi Huyu Hawezi Kuwa Rais.
 
Kwa hali ilivyo sasa hakuna wa kumzuia Lowassa ndani ya CCM... Ile omba usiote unataga!!!
 
Back
Top Bottom