Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,658
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
 
ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? Nb: Sitarajii matusi na kejeli.

vijana wanaobalehe huwa wananaota kufanya mapenzi na wanawake mbalimbali. Huwa hawawapati. Wanaishia kujichafua tu.
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

Nimekutukana tusi baya sana.
 
Huwa nafikiri huyu jamaa anaweza kuwaongoza watanzania. nmemshuhudia kipindi kifupi cha iwaziri mkuu amefanya makubwa
 
Kamanda asiyekaa ofisini
Kamanda mwajibikaji
Kamanda mpiganaji
Kamanda wa maamuzi
Kamanda wa shule za kata
Kamanda wa mradi wa maji ziwa victoria
Kamanda hajawahi kutuambia liwalo na liwe au tumechoka wapigwe tu
Ndo umemwota heri umwotae rais 2015
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

unaanza kwa kutukana watu kisha wewe hutaki kutukanwa?...$325^^%#&*@& wewe
 
... Ameeeen
Bora umesama hivyo vinginevyo ningekuunganisha na mtoa mada.

Hii kwa mtoa mada....

"Mara ya mwisho kuota tanzania inafanikiwa kumpata kiongozi ambaye ni muadilifu (Siyo mwizi, hana tamaa ya madaraka, hana urafiki n a wala rushwa na mengine kama hayo ) na yuko tayari kujitoa maisha yake kwa ajiri ya raia wake huku akiwathamini waafrika wenzake kama anavyowathamini wazungu?"
 
Lowassa nakusubiri upitishwe nikupe kura yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huwa nafikiri huyu jamaa anaweza kuwaongoza watanzania. nmemshuhudia kipindi kifupi cha iwaziri mkuu amefanya makubwa

richmond, mvua ya kutengeneza au yapi hayo!?????
 
Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye.
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Kazi mnayo kubwa sana mwaka huu hadi uchaguzi mkuu ufike tutaona mengi nakusikia mengi! kachukue hela yako ya siku......!!!
 
Kama haumkubali Lowassa then unamkubali nani?
Ukiachana na propaganda Lowassa amefanya mengi ya maendeleo na ya kizalendo.
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Kheri kufilisika mfukoni kuliko kichwa.
 
Hata usingeota..ila ndo huyo ameshaandaliwa tayar...na kama huamin subr 2015...hata akipita mtafanya nn!!!mana wa TZ weng tunajua kuongea lakin vitendo 0...
 
Back
Top Bottom