Nimeamini kwa sasa Watanzania hatuko huru, nimekamatwa kisa kunywa bia kabla ya saa 10

Wewe husiekunywa tupe mfano wa mafanikio yako please ili tukuige
Namiliki wanawake 6 watoto 18 wajukuu 4 na wote wanakula na kuvaa swaaafi kabisa. Utanikisoa hilo kuoa wanawake wengi bila kufikilia kuwa wanawake ni wengi na kila m1 angependa aolewe
 
Back
Top Bottom