colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,906
Habar zenu wana jf natumai muko na afya
Kwa mda mrefu sasa nimekua nikihangaika huku na kule kutafta ajira ila sijapata matumani yeyote
Nina diploma in medical laboratory na pia napatikana dar es salaam ila ajira imekua shida sna kupata
Kama kuna mtu ana hospital au dyspensary na anauhitaj wa laboratory technicins basi ani pm itakua ni msaada mkubwa kwangu au hata mwenye company au duka la laboratory equipments and supplies basi pia nipo tayar kufanya kazi
Nasubir msaada wenu wadau , mungu awabarik sana