DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Wanajamvi
Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.
Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.
LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.
NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.
Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.
Mmmmh sasa ni.hatari ki vipi????!!!
CCM wana style nyingi sana za kukata roho!!!! Matumizi makubwa ya pesa za kuhonga waandamanaji ni mbinu mojawapo.
TeamLowassa,obviosly huwezi kupenda pande mbili,ukiona ivyo zote zinakulipa.TEAMZITTO na TEAMLOWASSA zote zako.Ila sishangai kwa kuwa UNAISHI KWA BAHASHA MJINI.Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
Mmmmh sasa ni.hatari ki vipi????!!!
Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
Watu wa Kanda ya Ziwa wamedhihirisha kuwa wanafuata sera siyo mtu.
Ole wao waliojiunga chadema kwa ajili ya mtu.
Aibu kwa Zitto Kabwe na CCM