Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

Summarization.

1. Anamiliki laptop si unajua vile tuko uchumi wa kati!!

2. Yuko mkoani kikazi, means ameshalamba perdiem yake thoe sijui ni ngapi per day

3. Ana upungufu wa nguvu za kiume sijui ni kibamia chake tu.

4. Alizoea kula nyeusi sasa akakutana na nyeupe ikamtoa nje ya mchezo.

5. Some percent ya wanawake wa karne hii eti wanajiuza. Cha ajabu huyo hawara aliye lala nae hakumdai chake. Sasa ni kujiuza gani huko? Ama alikopeshwa

6. Hii ni chai kama chai zingine tu.
Unabisha kwamba haya mambo hayapo au unabisha kutetea kundi ambalo na wewe ni mmojwapo?
 
Nyambafu kabisa wewe mkuu!!Umekula kahaba bila kujijua,siku nyingine ukifika ugenini uwe na subira,uliza wenyeji.Acha ukenge!!!Kama uliyoyasema ni kweli,basi hii kali.Hawana maana hawa!!!
mkuu, huu ni ukweli
 
Nilitegemea stori ya OP iwe hivi"Nimetongoza kademu na siku tatu baada ya kukagegeda kakaniomba 560k kakanunue samsung galaxy A30s"..hapa atleast ungekuwa umetetea hoja ya "wanawake kujiuza indirently"
Hatukupeana pesa lakini yule kwa ushahidi wote anajiuza
 
Back
Top Bottom