Ndugu wadau wenzangu wa
jukwaa kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba
yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my
biological father ni kama mlezi wangu tu. kwa kweli sielewi hata
nianzie wapi nahisi kuvurugwa. Naombeni ushauri wenu wana jamvi
Kwa kweli naanza kukubaliana na mila ya baadhi ya makabila ambayo yanachukua ukoo kutoka kwa mama.Makabila mengi ya Ghana yanatumia hiyo system kuwa mama anapokuwa mjamzito kila mtu anamuona na hakuna haya ya vipimo kwa sababu mtoto atakaye mzaa ni wa damu yake, hivyo mtoto anachukua ubini kutokea kwa mama na sio upande wa Baba kwani hakuna uhakika Baba halisi ni nanihttps://www.jamiiforums.com/mahusia...he-biological-fathers-nendaeni-mkapime-2.htmlInasikitisha sana lakini uzinzi Tanzania ndio sifa kuu. Heshima, utu na adabu zinazidi kushuka kila kukicha, tutegemee nini ikiwa 60% ya mababa wanabambikiwa watoto.Usimwambie huyo baba aliokulea kitu chochote endelea kumheshimu na kuwa nae kama hujasikia kitu. Baba ni yule akuleae na wala usimtafute huyo unaetakiwa awe ndio baba'ko. Kwanini kosa la mama'ko ulilipe wewe?
kama alishakulea na kukutunza kama mwanae una haji gani tena ya kummtafuta baba mwingine?
mthamini huyo ulie nae kama amaekupa mapenzi ya kibaba.
waza maisha yako kijana kama wasoma pigabuku kwenda mbele
huyo unaetaka kumtafuta hatakupa future kwa sasa.
Kwa kweli naanza kukubaliana na mila ya baadhi ya makabila ambayo yanachukua ukoo kutoka kwa mama.Makabila mengi ya Ghana yanatumia hiyo system kuwa mama anapokuwa mjamzito kila mtu anamuona na hakuna haya ya vipimo kwa sababu mtoto atakaye mzaa ni wa damu yake, hivyo mtoto anachukua ubini kutokea kwa mama na sio upande wa Baba kwani hakuna uhakika Baba halisi ni nani
Ndugu wadau wenzangu wa jukwaa kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my biological father ni kama mlezi wangu tu. kwa kweli sielewi hata nianzie wapi nahisi kuvurugwa. Naombeni ushauri wenu wana jamvi
…kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my biological
kwa kweli sielewi hata nianzie wapi nahisi kuvurugwa. ..
mwambie akuoneshe original maana umechoka huo mchina sawa baba..Ndugu wadau wenzangu wa jukwaa kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my biological father ni kama mlezi wangu tu. kwa kweli sielewi hata nianzie wapi nahisi kuvurugwa. Naombeni ushauri wenu wana jamvi
kwenye ward za wazazi wahudumu hawapo makini sana hawakawii kuwa-cross watoto wachanga kwa mama tofauti.Kwa kweli naanza kukubaliana na mila ya baadhi ya makabila ambayo yanachukua ukoo kutoka kwa mama.Makabila mengi ya Ghana yanatumia hiyo system kuwa mama anapokuwa mjamzito kila mtu anamuona na hakuna haya ya vipimo kwa sababu mtoto atakaye mzaa ni wa damu yake, hivyo mtoto anachukua ubini kutokea kwa mama na sio upande wa Baba kwani hakuna uhakika Baba halisi ni nani