Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

Ongera sana mkuu lkn kumbuka mla nae uliwa kuwa makini sana na wew watakugongea xna mkeo

kyalankota nenda tu lakini ukae ukitambua kuwa mla vya wenzie na vyake huliwa.

Wewe uliyemgegeda mke mtarajiwa wa jamaa naomba mungu na wako agegedwe maana hujamtendea haki yule mtarajiwa wa mchepuko wako sana

Hahahahaha fimbo iliyomchapa mwanzio naww itakurudia🚶🚶🚶

msichana / mke unaemchezea leo hujui wakwako anafanywa nini leo.......haya mambo haya.......

Angalia isije kua ni njama ya mumewe anataka akujue mwizi wake wa muda mrefu Ili aache amekuumua

Hakuna kitu kama hicho, never happen!
 
Amekualika ili ukajue kuwa kuna wanaume wenye akili zao hawapendi kuchezea watoto wa watu. upo hapo????????????????????????

Ndio ivo, akaangalie chombo kinavyo ingizwa ndani macho yatamtokaje Kyalankota

Kakupa na mbunye kwa masimango weye ukajiona bingwa wenzio wamechukua jumla

Anaolewa ili aonekane tu ni mke wa mtu but fikra zake na mahaba kwangu ndo maana kaniletea mbunye siku moja kabla ya harusi!
 
Point ni nini hapa? Kwenda harusi, kuolewa, kuhamia mkoa mwingine, kumgegeda au? Sijaelewa lengo la hii kitu
 
Point ni nini hapa? Kwenda harusi, kuolewa, kuhamia mkoa mwingine, kumgegeda au? Sijaelewa lengo la hii kitu

Rudia kusoma kwa makini utaelewa tu somo fulani hapa!
 
Anaolewa ili aonekane tu ni mke wa mtu but fikra zake na mahaba kwangu ndo maana kaniletea mbunye siku moja kabla ya harusi!

Acha kujitetea mkamu ghwangu, bibie kakutosa, wenye mahaba wamechukua chombo wewe umeitwa kuaga, kwanza umenidharirisha sana kitendo cha kwenda kushuhudia, jamaa anajichukulia utamu wako. ha haaa haaa.
 
Issue ya kuolewa hajaifanya kwa kificho kila kitu alikuwa ananihusisha, mimi nilishamwambia siwezi kuoa wake wawili hivyo nikampa ruksa kuolewa! Sasa ulitaka mwenzio azeeke akiwa mchepuko tu!
 
Issue ya kuolewa hajaifanya kwa kificho kila kitu alikuwa ananihusisha, mimi nilishamwambia siwezi kuoa wake wawili hivyo nikampa ruksa kuolewa! Sasa ulitaka mwenzio azeeke akiwa mchepuko tu!

Heee!! hongera kwakutunza mchepuko na kuutafutia bwana.
 
Rudia kusoma kwa makini utaelewa tu somo fulani hapa!

Nilichokielewa ni kwamba kipindi wewe unamgegeda huyo dada lodge,shamba boy alikuwa anamgegeda mkeo kitandani kwako.
 
Back
Top Bottom