Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

Nimealikwa na mchepuko kwenye harusi yake

Yaani mwanamke ni kiumbe dhaifu sana mpaka sendof bado anagegedwa na mchepuko

Nishawahi kushuhudia kijijini kwetu, harusi kesho yake mwali katoroshwa usiku wa kuamkia siku ya harusi. Baada ya siku mbili, jamaa aliyemtorosha akamwachia arudi nyumbani. mpaka leo yule binti hajapata kuolewa. Kilichofanyika, mzazi mtu, aliongea na mdogo mtu achukuwe hiyo nafasi ili aondoe hiyo aibu, na pia mahali tayari mzee alikuwa kisha kula. mdogo mtu akakubali kuvalishwa shera siku hiyo, na akaolewa.
So haya mambo ni magumu sana.
 
Back
Top Bottom