Nimeachwa..

Nimeachwa..

Tafuta girlfriend mwingine mzuri kuliko yeye. Halafu nyie wanaume mna bahati sisi tuko wengi halafu huwa mnatongoza rahisi tu kupata ukitaka.
Haha sasa ukitongoza kila unaemuona so tatizo litakua lile lile?nadhani njia ya kutatua tatizo kumpata anaekupenda..kukuelewa
 
Dah, how old are you? Ukiwa mkubwa utawakimbia mwenyewe! Relax and move on. Trust me Atarudi kwako akiwa mzima au akiwa mfu.....
Am 26 and sina shida nae tena..I can't afford maumivu mengine
 
Nimegundua ana cheat na jamaa,kufatilia kumbe hawajaanza Leo,wala Jana.kumuuliza girl anasema yeah.. Umechelewa kujua..nkatengeneza mazingira aniombe msamaha,akawa hana habari..kumwambia tuachane..ikawa kama habari njema kwake..tho sikua tayari,wala kupanga tuachane..DAMN
Uwiiiii
 
Why kakuacha? Take time and relax, jichanganye na marafiki, fanya mazoezi na epuka kukaa peke yako. Mwisho mshukuru mwenyezi Mungu maana hujui amekuepushia nini. Japo itakuumiza kwa muda but after sometimes utakuwa poa. Maisha yataendelea tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom