Nimeachwa tena

😂😂😂Kha!
 
Ulimakafu Mshana Jr Soma Tena Matola Elli mjingamimi Utingo bagamoyo Carrasco putin NGOMEKONGWE2021 OSEFUKANY Asamwa Matola Mzee Wa Kazi Chafu delako Get Rich fundi bishoo Tajiri Kichwa
 
Alikuwa na lake jambo, sijaona hoja hapo ya kuachana.
Huyu hawezi kuandika yote kwa sababu hapa amekuja hasa kutafuta namna ya ku-deal na huyu aliyemfanyia hivyo Ila tujue kitu kimoja.............

Kama mwanaume hapendi kutoka toka hasa kwenda kwenye hizi sherehe ambako pombe huwa ni za bure jua huyo hatumii kilevi na upo uwezekano wa huyu mama kutumia kilevi na alipoambiwa ampelekee funguo akamjibu shit kwa sababu yupo na rafiki zake na pombe imeshamuaminisha na yeye ana nguvu asibabaishwe.

Sioni bado logic kwamba mtu hataki kwenda kwenye sherehe anakwambia niletee funguo na ukumbi haupo mbali wewe kumpelekea hutaki unamwambia njoo zifate anakuja anakaa hayuko comfortable anakwambia tuondoke sometime pombe zake zikamtuma akampa tena shit hapo hapo mbele ya watu then tutegemee nini?
 
Mimi sio mlevi na sikunywa bia, alielewa ckuiyo niyy ndie alilewa
 
Pole sana kwa changamoto, shida ninayoiona ni kwenye mawasiliano na kama ulivyosema kuwa umeishi naye miaka minne ni matumaini yangu kuwa unamfahamu vizurii yale anayoyapenda na asiyoyapenda, na wewe ndio unayejua zaidi na umeeleza Kwa upande wako. Saa tano usiku ni muda ambao sherehe nyingi huwa zinaisha kwa mtazamo wangu ungeondoka tu kama ulimwambia sijala naamini kama aliamuru urudi sidhani kama alikuwa amedhamiria kwamba ulale na njaa, pili wewe ulitumia nafasi hiyo kama mtoko ukilazimisha na yeye awepo kitu ambacho kwake hakikuwa priority, pamoja na hayo naamini yapi mengine ambayo haujayasema au tayari alikuwa hisia za kuwa tayari unatoka nje ya ndoa.

Lakini jambo la kujiuliza ni kuhusu hiyo ndoa, wazazi wako walipokuona hapo nyumbani hawajataka kuwaita Ili kujua shida ni nini? Au amewagomea hata wazazi wako? Au lah wewe haujawaeleza ndugu zake wazazi au wakubwa zake kama wapo ili aseme shida ni sherehe au ni kitu gani, Maana nimeona jitihada ulizozifanya ni wewe kupiga simu. Sisi Kwa taratibu zetu usingerudi nyumbani bila kimemo, lazima wazazi wajue umeenda Kwa Heri au Shari!! Ndio Maana nimeuliza kuhusu hiyo ndoa
 
Mimi sio mlevi na sikunywa bia, alielewa ckuiyo niyy ndie alilewa
Sitegemei kukuona ukisema wewe siku hiyo ulilewa na yeye hakulewa,ok kwanini alipokwambia “TUONDOKE NYUMBANI” wewe ulimkatalia?ulikuwa na lengo gani?ulipoolewa nae si ulimuahidi kumuheshimu sasa kwanini ukashindwa kufanya hilo?Na hii kwa sababu ilikuwa ni sherehe lazima alikwambia hadharani ndani ya ukumbi wewe ukakataa mbele ya wanaume wenzake,ulimtia unyonge kwamba anaishi na mtu asiyemsikiliza.

Huo ni ukaidi na obviously alikuwa na experience ya ukaidi wako hata hapo kabla so conclusion yangu ni“KILICHOTOKEA UNAKISTAHILI”

NB;ninaendika hapa naishi na mwenzako mwaka wa kumi huu so nawajua nje ndani jinsi mnavyo-behave mkiwa kwenye kadamnasi na mkiwa chumbani.
 
kah nimejikuta nacheka,si kwa mistari hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alikua anakutafutia sababu tu Hana mapenzi na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…